What are you trying to say?This is a true story.
A 150 year old bank with $60 billion dollar in assets collapses overnight. Its stock price drops 93% in eight hours. One day it's solvent, the next, it's worthless. Perception of reality becomes reality.
acha uongo ww tbl hisa yake elfu2 na upuuz huo nan kasema???????????Hata makampuni kama
1.DSE imeshuka kutoka,1200 hadi 1180
2.SWISSPORT kutoka 5400 hadi 5000
3.TBL kutoka 2740 hadi 2340
4.TPC TWIGA kutoka 12000 hadi 10500.
nini sababu wataalamu wa mambo ya masoko ya hisa na uchumi???
Asante Mkuu umeweka na data hata kama umepika una dataHata makampuni kama
1.DSE imeshuka kutoka,1200 hadi 1180
2.SWISSPORT kutoka 5400 hadi 5000
3.TBL kutoka 2740 hadi 2340
4.TPC TWIGA kutoka 12000 hadi 10500.
nini sababu wataalamu wa mambo ya masoko ya hisa na uchumi???
Ww msema ukweli weka data acha kutoa povuuuuu.... Usipinge kitu bila dataacha uongo ww tbl hisa yake elfu2 na upuuz huo nan kasema???????????
Dah...sikai nibishane,nawe usie GT ambae huwez kuargue ama kutoa point.sina uhakika kama unafatilia haya mambo au unaniuliza mimi kuwa nan kasema? na huku,huna tarfa hata ya bei halali za hzo hisa.acha uongo ww tbl hisa yake elfu2 na upuuz huo nan kasema???????????
Hahah hata mim kanshangaz uyo jamaa,atakuwa kweli ni pimbi mkuu..umempatia jina zur ase.Asante Mkuu umeweka na data hata kama umepika una data
Ww msema ukweli weka data acha kutoa povuuuuu.... Usipinge kitu bila data unaonekana pimbi tu[emoji86][emoji86][emoji86]
Hahahahah nimejikuta nachekaaaaaa tuuuu...... Labda kama unataka kucheza betting kama YA mpira win or loose kwa sababu Ihii inaweza kuwa ni mwendo wa kushuka tuuuu kwa miaka zaidi YA 3....Ndo wakati wa kununua sasa
Nimegundua mkuu,sor nlikosea ni 12000 to 10500.but next,time uliza ama kuja kiustarab usiite upuuz sabu ni mwanaume na akili zangu nimetumia muda kuandika.na ingekuwa vema,kunisahihsha au kuleta price.na si kubwabwaja,kama avokueleza mkuu wangu hapo juu Babuu blessedacha uongo ww tbl hisa yake elfu2 na upuuz huo nan kasema???????????
Kamuulize baba jesca maana naona uchumi unamshinda kabisa!!Leo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam hisa za Bank ya NMB zimeporomoka Bei kutoka Sh. 2,750p hadi sh.2,340p mdondokeo Mkubwa zaidi wa Pua (Nose dive).
Wale wafuatiliaji wa Mambo ya Hisa mnaelewa kuwa mdondoko huu wa 15% ni Significant mpaka Sasa sijaona taarifa ya NMB kwa wanahisa.
Yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze sioni Bei ya hisa zake ikirudi haraka kwa haraka. Hisa Za NMB zilishawahi Kuuzwa sh.4,500p
Ndo wakati wa kununua sasa
Kwani zimeshapanda hadi zianze kuporomoka...... [emoji5]️Nasubiri na za vodacom ziaze kuporomoka
jahazi linazama...
kwa maoni yangu fixed cost ni afadhali kuliko hisa kwa awamu hii..
maana rate ya fixed interest ipo juu sana inaenda hadi 14 % per annum.. sasa una milion zako mia.. unatupia tu mwisho wa mwaka unavuta faida milion 14 huku mia yako imekaa tu