Habari wakuu,
Kwa wale wafwatiliaji wa soko la hisa l dar es salaam (DSE) wanaweza kunisaidia katika hili,
Kwa mujibu wa markert trend ya soko la hisa la leo,hisa za Uchumi Supermarkert Ltd (USL)zimezidi kupaa thamani na hata kupelekea kuwa top gainer kwa zaidi ya 16 % huku tukielewa kabisa kwamba trenda yake ya kibiashara hasa hapa Tanzanpia imeshuka mpaka hata kupelekea kupunguza wafanyakazi na hata kufungwa kwa maduka yake?
Wataalamu wa mambo ya hisa naomba msaada wa ufafanuzi juu ya jambo hili tafadhali.