DSM Business Documentary: Tangaza biashara yako bure

DSM Business Documentary: Tangaza biashara yako bure

Joined
Apr 27, 2020
Posts
28
Reaction score
29
Salute wakuu, hope kila mtu anaendelea vizuri na harakati za kimaisha na kibiashara pia.

Well, kuna simple project tumejiorganize kuifanya. Na imekaa Kama fursa nzuri sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali (Dar kwanza, mikoani tutakuja).

Kama ilivyo ada, mjini kila mtu amejichanganya anafanya shughuli zake pale pale alipo ,japokua social media imetusaidia sana kukuza reach ya business zetu na kuweza kufikia watu wengi zaidi.

Lakini unaweza kuongeza wateja wengi zaidi, Kama utajitangaza na kuonekana na watu ambao walikua hawakujui before. Au hawafahamu biashara yako ilipo na jinsi unavoweza kutatua mahitaji yao kwa urahisi.

Tumeandaa project hii, ambayo itahusisha wafanyabiashara na wajasiriamali wa aina zote waliopo Dar tutakupa nafasi ya kuielezea biashara yako na kuitangaza kwa video fupi (aka tell us your story and why people should come to you)

Kisha tutaunganisha video clips hizi za businesses tofauti tofauti na kuunda documentary. Ambayo tutaipromote kwa wakazi wa dsm and beyond.

Hivyo unaona namna gani utaongeza exposure ya biashara yako.. Na watu wakikuhitaji tunakuconnect nao.

Chances zipo limited tucontact sasa on whatsapp (JINA LA BUSINESS na ulipo in DAR). tutafanya arrangements.

0752226475 whatsapp /normal text

Hii inahusu watu wote, kuanzia wale wafanyabiashara wadogo, wenye maduka mbali mbali, wanaouza products za ujasiriamali, to entrepreneurs, wenye companies etc...

Watu wanahitaji kufahamu huduma unazotoa... Changamkia fursa

FREE / NO COSTS TO YOU

P11.jpg
 
Back
Top Bottom