Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
ujaelew nini ndgu?
Ipi hiyo mkuu maana siku hizi mpya wao wenyewe wanauza 79000.We kwanini 120,000 ipoje hiyoMi nina dstv decoder na dish lake vyote nauza 120,000 kazi kwako kulipia kila mwezi
Inabidi uendane Na Bei ya sokomi nilinunua 165,000 labda hizi mpya ni tofauti kidogo. Hata hivyo bei inapungua kwa atakayekuwa serious
poa poaInabidi uendane Na Bei ya soko
Hii hapa kama huna hela ya kifurushi unaweza kukopa kwa ndugu yako yeyote ukanunulia kifurushi ukaendelea ku- enjoy program zao..hii huwa naisikia hebu nifafanulie kwa undani zaidi tofauti yake nini na hizi decorder za kawaida za dstv
unalipia kiac gani kk?Mbona dstv yangu inaonesha chanel cha che.. Hasa za mpira tu.zile action 109_120 hazioneshi.wala ile ya wanyama haipo
kuna vng'amuz vya aina mbil vya dstvDSTV Explora ninini
kuna vng'amuz vya aina mbil vya dstv
1)zapp ambavyo ni hd na co hd
2)explora ambayo ni hd
hv vyote vnatumia satellite dish na internet ,tofauti yke bei na ma2miz 2Asante sana kwa majibu ingawa ndio umenizamisha kabisa. Hicho Zapp ukinunua ni basi hutarecharge au nini? na hicho kinginge ndio kinakuwa chargeable?
Nielekeze ili unitoke huku Kolomije ninakovuna mahindi nwo
hv vyote vnatumia satellite dish na internet ,tofauti yke bei na ma2miz 2
explora ina uweze wa kurekod kipindi ukitakacho na kurudisha nyuma kipind kilicho pita
Zap (hd) hkina uwezo huo mpak utumie flash
Siyo kibitinina king'amuzi cha dish cha startimes anayehitaji aje achukue bure nipo kilwa
poa ndguOk thanks a lot
Smart lnb ina tofauti gani na lnb za kawaida?,nifumbue macho hapaExplora only 185,000/=
Explora+Smart LNB 270,000/=
Explora (full set) 321,000/=
0652170490
Ulipigwa na wajanja wa mjini,bei yao ni 79,000mi nilinunua 165,000 labda hizi mpya ni tofauti kidogo. Hata hivyo bei inapungua kwa atakayekuwa serious
Ku lnb (lnb ya kawaida) haina uwezo mkubwa km smart lnb ingawaje smart lnb inauwezo wa kupokea signal hta zile za kawaidaSmart lnb ina tofauti gani na lnb za kawaida?,nifumbue macho hapa
ujaelew nini ndgu?
cjakupata vzr kk hlo swal lakoUkitoa bei, nini tofauti yake?
Explora only 185,000/=
Explora+Smart LNB 270,000/=
Explora (full set) 321,000
cjakupata vzr kk hlo swal lakoUkitoa bei, nini tofauti yake?
Explora only 185,000/=
Explora+Smart LNB 270,000/=
Explora (full set) 321,000
ina kifurushi cha compact cha mwezi mmojaUkitoa bei, nini tofauti yake?
Explora only 185,000/=
Explora+Smart LNB 270,000/=
Explora (full set) 321,000
Swali langu kwa nini mpaka mtu alipie ndo aweze kurekodi?tofaut kubwa ukifunga ikiwa inakifurush cha compact pia ukiifunga ipasavyo inauwezo wa kurekod bila kutumia flash pia unaweza kuangalia kipind kilicho pita