INAUZWA DSTV Explora

hv vyote vnatumia satellite dish na internet ,tofauti yke bei na ma2miz 2
explora ina uweze wa kurekod kipindi ukitakacho na kurudisha nyuma kipind kilicho pita
Zap (hd) hkina uwezo huo mpak utumie flash
Kwa nini mnachaji watu hiyo huduma ya kurudisha nyuma kipindi na kurekodi bila kuwapa maelezo hayo kabla ya kununua si ni uhuni huo?
 
Explora only 185,000/=
Explora+Smart LNB 270,000/=
Explora (full set) 321,000/=

0652170490
Ni vyema muwe mnawaweka watu wazi wakati wa kuuza hizo explora.
Kama wewe ulivyofanya hapa unatoa tu bei ya kununua hiyo explora halafu huwaelezi watu kuwa huko kurekodi na kurudisha nyuma kipindi unalipia...

Hii inashangaza kwa kweli ni sawa na kumuuzia mtu remote alafu kuibonyeza ili kubadilisha channel mtu alipie tena.

DSTV huo ni wizi...vyema mkawaweka wazi watu ili waamue kabla ya kununua
 
Kama kuludisha nyuma unalipia Tsh ngapi?
Na katika kurekodi ulilipia Tsh ngapi?
 
Swali langu kwa nini mpaka mtu alipie ndo aweze kurekodi?
Yani kifurushi cha mwezi ninunue alafu na uduma ya kurekodi eti nilipie nyie watu hampo serious
Sasa kama hujalipia chanel zitafungukaje?,au utarecord hewa?,mambo mengine yako stright foward
 
Naomba namba ya Mwenye ujuzi wa kutumia Dstv explora , nimelipia ila siwezi nikarecord na kadhalika

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…