luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Uongozi wa DSTV fanyeni jitihada muongeze channels za Tanzania, badala ya kuturundikia channels za Kenya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakulaumiwa ni Dr. Mwakyembe, DSTV zamani walikuwa na local channel za bure zaidi ya TBC, lakini akatokea kichaa mmoja mwenye PhD Mwakyembe akapiga marufuku hizo channel ziondolewe.Uongoz wa DSTV fanyeni jitihada muongeze channels za TZ , badala ya kutulundikia channels za Kenya tu
Ndio wafanye mpango tena warejesheWakulaumiwa ni Dr Mwakyembe, Dstv zamani walikuwa na local channel za bure zaidi ya Tbc, lakini akatokea kichaa mmoja mwenye PhD Mwakyembe akapiga marufuku hizo channel ziondolewe.
Walichofanya Dstv ni kutii mamlaka na kuziondowa, ila wao kwenye liking'amuzi lao la Startimes wamezijaza kibao free channel.
Selfishness.
Wakulaumiwa ni Dr Mwakyembe, Dstv zamani walikuwa na local channel za bure zaidi ya Tbc, lakini akatokea kichaa mmoja mwenye PhD Mwakyembe akapiga marufuku hizo channel ziondolewe.
Walichofanya Dstv ni kutii mamlaka na kuziondowa, ila wao kwenye liking'amuzi lao la Startimes wamezijaza kibao free channel.
Selfishness.
Mimi ndio natumia kuangalia hizo local channels bila malipo, subscribe ya airtime nalipia kwenye decoder ya Dstv.Halafu hilo listar times hata hamna mwenye time na hilo liking'amuzi!
Wakati ndio wana wateja wengi zaidi ya 1.8 million wakifuatiwa na azam wenye laki nane na nusu huku dstv kitu kama laki moja na themanini.Halafu hilo listar times hata hamna mwenye time na hilo liking'amuzi!
Startimes ndo wanaongoza kwa subscribers wengi lakini.. remember that.Halafu hilo listar times hata hamna mwenye time na hilo liking'amuzi!
Kwani hizo za Kenya ni za bure? Kama kurundika mbona kuna channels za TBS, Safari, Wasafi. ETV.Uongozi wa DSTV fanyeni jitihada muongeze channels za Tanzania, badala ya kuturundikia channels za Kenya tu
Hapa TZ channel ambayo ina heshima na hadhi kuitazama ni ITVKwani hizo za Kenya ni za bure? Kama kurundika mbona kuna channels za TBS, Safari, Wasafi. ETV.
Mwakyembe alitumwa na maguWakulaumiwa ni Dr. Mwakyembe, DSTV zamani walikuwa na local channel za bure zaidi ya TBC, lakini akatokea kichaa mmoja mwenye PhD Mwakyembe akapiga marufuku hizo channel ziondolewe.
Walichofanya DSTV ni kutii mamlaka na kuziondoa, ila wao kwenye liking'amuzi lao la Startimes wamezijaza kibao free channel.
Selfishness.
Airtime yako ikiisha hiyo Wasafi na Etv unaziona?Kwani hizo za Kenya ni za bure? Kama kurundika mbona kuna channels za TBS, Safari, Wasafi. ETV.