Mkuu hebu tujuze ni dicoder gani hiyo? maana humu wengi ni waanga wa bei za DSTVNimefungiwa cjui kinaitwaje yaan kwa 180k maana nilikuwa na dish kubwa nacheki euro, copa america, nba , sky news, cnn, hbo movies, etc bila malipo ya mwezi full hd kwa raaaahaaa
zipo dekoda aina nyingi zinzzofanya kazi kama anavyosema mdau hapo juu mfano wake ni kama: azsky, alphabox nk. unahitaji dish kubwa kuanzia ft.6, ongea na hao mafundi dish walio karibu nawe!Mkuu hebu tujuze ni dicoder gani hiyo? maana humu wengi ni waanga wa bei za DSTV
Naweza kununua vifaa vyote nikafunga zambia? Pia kununua ikiwa na kifurushi cha premium bei gani? Nataka nifunge zambiaJiunge sasa na Dstv kwa punguzo la bei ambapo utapata vifaa vyote kwa Tsh 79,000. Pia utapewa mwezi mmoja bure wa kifurushi cha Compact chenye Channels zaidi ya 90. Utashuhudia mechi zote za Uefa Euro live kwenye HDNipigie 0767556701. Alphonce nipo Mwanza
Juzi juzi nmewapigia hawa jamaa nibadilishe decorder maana natumia decorder ya zamani (ambazo si HD) nipate hizi za HD wanasema ninunue kwa 59K wakati bei ya full package ni 79k. Si bora niongeze hiyo 20 ninunue package nzima. Nimpe hata mtu bure hii decorder ya zamani plus dish n waya.
Ma.bwege sana mtu mteja wao miaka 5 sasa wanashindwa kuonyesha concern hata kidogo.