MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kweli asee vifurushi bei juu[emoji41]wasisahau tatizo sio ukubwa wa decorder ila bei za vifurushi.
Economies of scaleEpl waweke 25,000 tujimwage hapo kwa ushindi mnono.
Antenna inaepusha usumbufu hasa wakati wa kuhama ndgMatumizi ya antenna ni kurudi nyuma kiteknolojia hata kama antenna ni HDTV capable...
Wao wangeunda package yao tu ya sports kama ilivyo canal ( 42 elfu ) ya kibongo ligi zote muhimu kwa ukanda wetu unazionaEpl waweke 25,000 tujimwage hapo kwa ushindi mnono.
Ushauri muruaDstv nadhani wanajidanganya wenyewe,izo gharama za kuzalisha visimbuzi vipya ni kujidanganya,ushauri wa bure kama watapenda decoda uza 150000/=
Epl weka 30000/= tu
Alafu sikilizia soko ndani ya mwezi tu mitaa yote ina dishi na mapato pia yatazidi maradufu ......
Kibiashara decoder sio continues business ukinunua ndo umemaliza ila kifurushi ni kila mwezi unanunuaDstv nadhani wanajidanganya wenyewe,izo gharama za kuzalisha visimbuzi vipya ni kujidanganya,ushauri wa bure kama watapenda decoda uza 150000/=
Epl weka 30000/= tu
Alafu sikilizia soko ndani ya mwezi tu mitaa yote ina dishi na mapato pia yatazidi maradufu .....
Yah sasa kama utapunguza kifurushi mfano cha michezo ukaweka 30000/= uoni hapo kama utateka soko kubwa sanaaa,uku ukiwa unaingiza wateja wapya kwa kununua kisimbusi kipya kwani watu wanaitaji zaidi kuona epl,la liga,etc....Kibiashara decoder sio continues business ukinunua ndo umemaliza ila kifurushi ni kila mwezi unanunua
Upo sahihi ...Kibiashara decoder sio continues business ukinunua ndo umemaliza ila kifurushi ni kila mwezi unanunua
KWELI KABISA KIONGOZI ULIFAA KUWA MTU WA MASOKO WA HII KAMPUNI, MAANA HILI ULILOTOA LINGEWASAIDIA SANA KUINUA MASOKO YAO.Dstv nadhani wanajidanganya wenyewe,izo gharama za kuzalisha visimbuzi vipya ni kujidanganya,ushauri wa bure kama watapenda decoda uza 150000/=
Epl weka 30000/= tu
Alafu sikilizia soko ndani ya mwezi tu mitaa yote ina dishi na mapato pia yatazidi maradufu ......
Marekani wanatumia teknolojia zote ( Cable, Antenna na Dish)Matumizi ya antenna ni kurudi nyuma kiteknolojia hata kama antenna ni HDTV capable...
Siku wakishusha kifurushi hasa cha Compact ndio ntawapongezaKuna mdau wangu mmoja tunafahamiana naye anafanya kazi DSTV kitengo cha R&D.
Anasema sasa hivi DSTV wako kwenye mchakato wa kushusha mzigo mpya robo ya kwanza ya mwaka 2022.
Wanaleta antena badala ya dishi. Pamoja na hilo pia wataleta decoder mpya ndogo saizi ya simu ya mkononi ambayo badala ya kutumia kadi kubwa za zamani hii itakuwa inatumia kadi ndogo saizi ya laini ya simu.
Pamoja na faida nyingine vifaa hizi vitakuwa na gharama ndogo, chini ya elfu 25,000.
Wakuu the future is here
Bei zao zipojeBora walete kile king'amuzi chao cha GOtv kile ndo bei chee na vifurushi bei chee.