Tetesi: DSTV kuleta king'amuzi cha antenna

Shida ya
Canal hawaongei kingereza hivyo unakosa uhondo wa commentators
Of coz yes..ila hata hao commentators wengi wetu huwa tunaangalia kwenye ma Bar au maukumbi...makelele mengi..huo mda wa kuwasikiliza unautoa wap
 
Waache mbwembwe wapunguze bei za vifurushi full stop
 
Marekani wanatumia teknolojia zote ( Cable, Antenna na Dish)

Antenna ni old fashion na hata kwa US ni hivyo hivyo na channels zinazopatika kwa antenna ni free-to-air HDTV...na hata antenna zao si yale mamiiba ya samaki, ni indoor...

Watu wengi hutumia cable, wakifuatiwa na dish...
 
Wangeshusha Bei wapate wateja wengi wangepata faida zaidi
 
Yah sasa kama utapunguza kifurushi mfano cha michezo ukaweka 30000/= uoni hapo kama utateka soko kubwa sanaaa,uku ukiwa unaingiza wateja wapya kwa kununua kisimbusi kipya kwani watu wanaitaji zaidi kuona epl,la liga,etc....
Hizo gharama za kununua TV rights ni kubwa mno
 
Hii ingekaaa sawa mkuu, hata kungekuwepo vifurush vya week, unaangalia week iliyo busy yenye champions league na big match za kutosha unalipia!
 
Pamoja na faida nyingine vifaa hizi vitakuwa na gharama ndogo, chini ya elfu 25,000
Ogopa sana kitu yenye element ya supplement goods, hata ukipewa bure gharama utailipa tu indirect!!!
 
DStv kifurushi kikiisha na hauko vizuri mfukoni utatamani uhame nyumba utazijua nyimbo zote za kusifu na kuabudu serikali
 
Azam anawakimbiza sana DSTV kwenye hii premier league ya kibongo na DSTV naye anamkimbiza AZAM kwenye EPL....matokeo yake nyumba moja inakubidi uwe na madish mawili la AZAM na DSTV..
Bora uwe na DStv ndani Ligi ya bongo unaenda kubishana huko bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…