Mimi tar 1 tuu nikalipia kabisa nisikose uhondoDah...mie machale yalinijeza aisee..ilikata jumatano nikasema isiwe tabu ngoja nisikilizie mpka weeknd...wazo zuri wanatakiwa waangalie namna ya kufanya hapa....
wapigie wakubadilishie kifurushi wakuwekee chs 19 salio lako litabaki utatumia mwezi ujaoKatika kipindi hiki ambacho ligi nyingi za ulaya zimesimama kutokana na mlipuko wa Corona virus ni muda muafaka wa Dstv kujitathmini namna gani matumizi ya kingamuzi chao kiwe...
Binafsi nimelipia kingamuzi mwezi huu tar 1 kwa nia kubwa ya kuangalia ligi mbalimbali na michuano ya ulaya, lakini mlipuko wa Corona umesababisha ligi kusimama huku sisi pesa yetu imekwenda bure tuu, nitoe wito kwa DStv watufikirie wateja wao hususani mwezi huu na pia kubadili namna ya kutumia ikiwezekana iwe kama luku tuu, unaisha kadri unavyotumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho Siku mbili tuwapigie wakubadilishie kifurushi wakuwekee chs 19 salio lako litabaki utatumia mwezi ujao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa mkuu...kama wanatoa offer kila mwezi na hili pia wanaweza kutafuta jinsi ya kufanya..its a win win situation in marketing coz tunalipia dstv kwa ajili ya sports mkuuKuhairishwa kwa mechi sio kosa lao, hawawajibiki kwa namna yoyote.
Laumu corona.
Katika vitu naona wanatukosea Hawa Dstv ni zile packages zao za vifurushi .....me kwa Dstv my fav shows mostly ni sports! kuna channels hata sijawai kuangalia! sasa kwanin wasiwe wanauza kwa channels moja moja? kunijazia machaneli ya kinaijeria bila idhaa yangu na kunilipisha
Sent using Jamii Forums mobile app