Hapo wataiua Azam, sio fair.
sawa wakala, legezeni na malipo basi 200000 kwa mwezi mshahara wa mtu huoWakati wengi wakiwa na mategemeo ya Azam kuonesha EPL siku zijazo hawa jamaa wa DSTV wanazidi kukaba kila angle, sasa hivi wamechukua Champioship football, hili ni daraja la chini ya EPL. Mshindi wa kwanza na wa pili wanapanda Premier League huku mshindi wa tatu,nne,tano na sita wanagombea nafasi moja ya kupanda EPL pia.
Kwa kifupi Championship kuna mpira wa kasi na ushindani wa hali ya juu. Sisi wapenzi wa mpira sasa itakuwa hakuna kuzima TV
Unatumia android tv box?Mimi mtundu tu wa haya madude mkuu situmii kisimbuzi cha Azam wala Zuku ila napata channels zote nazozitaka kwenye kisimbuzi chochote.
.
Siku wakinidaka uje kunidhamini [emoji23][emoji23][emoji23]
Unafanyaje....sitaki kuiba ila nataka kujua.Mimi mtundu tu wa haya madude mkuu situmii kisimbuzi cha Azam wala Zuku ila napata channels zote nazozitaka kwenye kisimbuzi chochote.
.
Siku wakinidaka uje kunidhamini [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri kusikia wamepata tena tenda ya NBA, maana online viewership zinachosha wakati mwingine.
kwa hiyo mkuu unatumia free to air receiver auMimi mtundu tu wa haya madude mkuu situmii kisimbuzi cha Azam wala Zuku ila napata channels zote nazozitaka kwenye kisimbuzi chochote.
.
Siku wakinidaka uje kunidhamini 😂😂😂
Kweli mkuu nataka kujua tu.acha usanii wewe...
Bora nikose kula ila sio Dstv budaaWakati wengi wakiwa na mategemeo ya Azam kuonesha EPL siku zijazo hawa jamaa wa DSTV wanazidi kukaba kila angle, sasa hivi wamechukua Champioship football, hili ni daraja la chini ya EPL. Mshindi wa kwanza na wa pili wanapanda Premier League huku mshindi wa tatu,nne,tano na sita wanagombea nafasi moja ya kupanda EPL pia.
Kwa kifupi Championship kuna mpira wa kasi na ushindani wa hali ya juu. Sisi wapenzi wa mpira sasa itakuwa hakuna kuzima TV. Itaoneshwa SS10
Mkuu sie wengine na baa ni mbali mbali .ni mlevi ila soka napenda kutizama geto .Wengi hawajui gharama ya kuangalia mpira bar inazidi gharama za kulipia dstv
Waonyeshe sasa na ligi ya Tanzania , AzamTV quality ya picha ovyo sana..
Na kweli mkuu, unajua sijawahi kufikiria kwamba bei ya kulipia kwa mwezi mmoja DSTV inazidi bei ya king'amuzi? Kumbe wanaweza kugawa visimbusi vyao bure kwa wateja na bado wakapata faida!!Hata kama una Azam au kisimbuzi chochote unaweza kuangalia Championship (EFL) kupitia FOX SPORTS 1&2.
.
Msitishike wadau DSTV tupa kule hilo nunua weka sehemu ya biashara not home, bei ya kifurushi inazidi bei ya kukinunua chenyewe ujinga gani huo