DSTV kuonyesha Michuano ya UEFA kwa misimu mitatu kuanzia 2018/19

Maaayooooo.... [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Naombeni mtoe maelezo ambaya yanaeleweka, mtu kauliza tunaipataje kila mtu online

Tununue device gani zitakazoweka kustream kupata hizo channel ili kuondokana na hili dubwana la dstv
Mi naona wengi wanaokuja na hizi kauli za "mi huku"ni waongo waongo maana ukiomba maelezo inakuwa kama jamaa hapo juu
 
Mkuu. Njia nyingine rahisi...kama huitaji kushusha app yoyote...unaweza ukaingia youtube na ukaandika kama ni "BARCA AND CITY" itakuijia video nyingi za nyuma...unachotakiwa unaenda mwisho utakutana na LINK utabofya and then itakuijia match live...
 
unatakiwa kuwa na android tv box kiaha upate premium iptv account

nazojua mimi ni hizi mbili kuna anewish iptv ina chanell kibao za sport lakini hakuna ss pia kuna xtv hawa wanazo ss za makaburu na zinginezo
 
Naombeni mtoe maelezo ambaya yanaeleweka, mtu kauliza tunaipataje kila mtu online

Tununue device gani zitakazoweka kustream kupata hizo channel ili kuondokana na hili dubwana la dstv

Mkuu..pole aise!! Njia nyingine rahisi...kama huitaji kushusha app yoyote...unaweza ukaingia youtube na ukaandika kama ni "BARCA AND CITY" itakuijia video nyingi za nyuma...unachotakiwa unaenda mwisho utakutana na LINK utabofya and then itakuijia match live...
 
mtu anataka kizuri ila hataki lipia bei nzuri...
streaming tz hupati picha nzuri ya mpira na lazima igande gande
 
Hivi nd kusema tumekosa mbadala wa dstv hapa Tz, kwamaana hiyo sina budi kuwafananisha dstv na tanesco!
 
Mkuu. Njia nyingine rahisi...kama huitaji kushusha app yoyote...unaweza ukaingia youtube na ukaandika kama ni "BARCA AND CITY" itakuijia video nyingi za nyuma...unachotakiwa unaenda mwisho utakutana na LINK utabofya and then itakuijia match live...
Hii ndio mara nyingi natumia kwa mechi za usiku sana mobdro huwa inagomagoma sana
 
unatakiwa kuwa na android tv box kiaha upate premium iptv account

nazojua mimi ni hizi mbili kuna anewish iptv ina chanell kibao za sport lakini hakuna ss pia kuna xtv hawa wanazo ss za makaburu na zinginezo
Ngoja nijaribu na hii
 
mtu anataka kizuri ila hataki lipia bei nzuri...
streaming tz hupati picha nzuri ya mpira na lazima igande gande
streaming ya bure lazima iwe hivyo ila premium account iko vizuri sana na sasa kumbuka tuna 4g mimi huwa natumia voda ni mpaka nikwambie kwmba hiyo ni streaming huwezi jua
 
Huwezi linganisha tv na streaming labda kwa wale jamaa ambao hawajawahi jaribu zote.
 
Kibongobongo streaming sio reliable kabisa.
 
Tutaheshimiana sana hapa mjini....
 
Huwezi linganisha tv na streaming labda kwa wale jamaa ambao hawajawahi jaribu zote.
Kwahiyo twende kubanana na kupigiwa kelele vivanda umiza ?

Ukiona tumekomaa na streaming ujue hatuna Dstv na vibanda umiza hatuvitaki
 
Sina habari nawo kabisa hao, nimejichimbia StarTimes Tanzania tena, tena na zaidi, sija recharge at least nina uhakika wa 5 Channels za kwetu..
 
unatakiwa kuwa na android tv box kiaha upate premium iptv account

nazojua mimi ni hizi mbili kuna anewish iptv ina chanell kibao za sport lakini hakuna ss pia kuna xtv hawa wanazo ss za makaburu na zinginezo
Tv box napataje kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…