Nijiongeze nini ?Kizuri gharama, jiongeze
zinauzwa nyingi tu au agiza alibabaTv box napataje kaka
katika xtv unazipata bein 1 -15
Online
Huku ni mechi zote iwe CAF iwe FIFA UEFA iwe za kufuzu,kirafiki n.k
Hamna kitu unatangaza izo tv box zimewadodea unatangaza kiainazinauzwa nyingi tu au agiza alibaba
Tutaheshimiana sana hapa mjini....
kaka mi sifanyi biashara hiyo ila nawwlezea tu uzoefu wangu kusaidia anaependa na kama una smart tv ya android waweza tumia hizo app bila ya android tv boxHamna kitu unatangaza izo tv box zimewadodea unatangaza kiaina
Hawa wanaoangalia sports online sio wakweli. Internet ya Tz inazingua sana ukiwa unaangalia mpira online haiko sawa dakika zote. Ila kila mtu utasikia anasema haisumbui wakati si kweli. Mimi nilijaribu mara kadhaa inazingua tu. Halafu Dstv Compact ni 69,000/- unaona EPL,Spanish na baadhi ya mechi za ECL. Sasa tupige hesabu.XTV another popular private Roku channel with questionable content was recently taken down by Roku for claims of copyright violations.
The party is over for many XTV fans who used this Roku channels as their main source of watching free TV shows. It joins iStreamItAll and several other private channels who Roku decided was no longer welcomed on their platform.
Mkuu unayoyasema si ya kweli kwani huo mgao uliouonyesha ni wa kila siku jambo ambalo si kweli kila siku kunakuwa na mechi zinazovutia watu wengi kutazama kwa mfano mtu anaweza kuwekeza 2000 yake ili atazame mechi za kesho kwa kutumia app ya mobdro yenye mjazo wa chaneli lukuki kuanzia michezo, movies, miziki na vitu vingine vingi vya kuvutia unaweza ukatumia chaneli ya sky sports premier league na ukatazama mechi zote tatu za kesho kwa shillingi 2000 tu na ukawa umesave hata 1000 ambayo ungelipa kama ungeenda kibandaumiza kitu kingine cha kufurahisha kwenye app ya mobdro ni kwamba haimalizi charge haraka kwani unaweza ktumia simu yenye charge asilimia 100 ukatazama mechi zote tatu bila buffering mzaz.Hawa wanaoangalia sports online sio wakweli. Internet ya Tz inazingua sana ukiwa unaangalia mpira online haiko sawa dakika zote. Ila kila mtu utasikia anasema haisumbui wakati si kweli. Mimi nilijaribu mara kadhaa inazingua tu. Halafu Dstv Compact ni 69,000/- unaona EPL,Spanish na baadhi ya mechi za ECL. Sasa tupige hesabu.
69,000/30=2300/- per day....Sasa wakuu 2300/- ni ndogo kuliko bei ya bia kubwa (2500/-)
Sasa kwa mfano kesho kuna mechi nzuri tatu
Arsenal vs Southampton
Liverpool vs Everton
Man Utd vs Man City
Je utatumia bundle la 2300/- kuona hizo mechi zote? Vile vile DSTV sio mpira tu, kuna vipindi vingi sana vya elimu na burudani.
Hata sikuelewi unasimamia wapi. Mimi nimeuliza unaweza kuweka bundle la 2300 ukaangalia mechi zote hizo tatu kwa mfano? Hizo habari za Mobdro nilishaacha ni usumbufu tu, siwezi kuangalia mpira kwenye simu. Ukweli ni kuwa internet ya Tz bado haijaweza ku-support haya mambo. Anyway wewe angalia tu kwenye simu mimi nitaangalia Dstv.Mkuu unayoyasema si ya kweli kwani huo mgao uliouonyesha ni wa kila siku jambo ambalo si kweli kila siku kunakuwa na mechi zinazovutia watu wengi kutazama kwa mfano mtu anaweza kuwekeza 2000 yake ili atazame mechi za kesho kwa kutumia app ya mobdro yenye mjazo wa chaneli lukuki kuanzia michezo, movies, miziki na vitu vingine vingi vya kuvutia unaweza ukatumia chaneli ya sky sports premier league na ukatazama mechi zote tatu za kesho kwa shillingi 2000 tu na ukawa umesave hata 1000 ambayo ungelipa kama ungeenda kibandaumiza kitu kingine cha kufurahisha kwenye app ya mobdro ni kwamba haimalizi charge haraka kwani unaweza ktumia simu yenye charge asilimia 100 ukatazama mechi zote tatu bila buffering mzaz.
Siwezi kushindana na matajiri wacha nipambane na hali yanguHata sikuelewi unasimamia wapi. Mimi nimeuliza unaweza kuweka bundle la 2300 ukaangalia mechi zote hizo tatu kwa mfano? Hizo habari za Mobdro nilishaacha ni usumbufu tu, siwezi kuangalia mpira kwenye simu. Ukweli ni kuwa internet ya Tz bado haijaweza ku-support haya mambo. Anyway wewe angalia tu kwenye simu mimi nitaangalia Dstv.
Usije kuwa unatumia hela nyingi kuliko hao 'matajiri'.Siwezi kushindana na matajiri wacha nipambane na hali yangu
Usije kuwa unatumia hela nyingi kuliko hao 'matajiri'.
Umechambua vizuri sana mkuu, ila hiyo 2300 ni kubwa sana kwa kuwa ni yakutoa kila siku, japo nakubaliana na wewe kuwa ukiweza kubalance matumizi yako kwa siku bas unaweza kuilipa hiyo helaHawa wanaoangalia sports online sio wakweli. Internet ya Tz inazingua sana ukiwa unaangalia mpira online haiko sawa dakika zote. Ila kila mtu utasikia anasema haisumbui wakati si kweli. Mimi nilijaribu mara kadhaa inazingua tu. Halafu Dstv Compact ni 69,000/- unaona EPL,Spanish na baadhi ya mechi za ECL. Sasa tupige hesabu.
69,000/30=2300/- per day....Sasa wakuu 2300/- ni ndogo kuliko bei ya bia kubwa (2500/-)
Sasa kwa mfano kesho kuna mechi nzuri tatu
Arsenal vs Southampton
Liverpool vs Everton
Man Utd vs Man City
Je utatumia bundle la 2300/- kuona hizo mechi zote? Vile vile DSTV sio mpira tu, kuna vipindi vingi sana vya elimu na burudani.
Hii ya 19 utakutana na cartoon na local channeltena dstv wanapatikana hata kwa ef19 tu
Mkuu..pole aise!! Njia nyingine rahisi...kama huitaji kushusha app yoyote...unaweza ukaingia youtube na ukaandika kama ni "BARCA AND CITY" itakuijia video nyingi za nyuma...unachotakiwa unaenda mwisho utakutana na LINK utabofya and then itakuijia match live...
Kuna busy week of football kwa sisi wapenda soka. Mfano wiki hii ilioisha. Jumanne na jumatano ECL, leo jumamosi kuna chelsea vs westham, tottenham vs nani sijui halafu kuna real madrid...then leicester vs newcastle hizi zote muda tofauti.Umechambua vizuri sana mkuu, ila hiyo 2300 ni kubwa sana kwa kuwa ni yakutoa kila siku, japo nakubaliana na wewe kuwa ukiweza kubalance matumizi yako kwa siku bas unaweza kuilipa hiyo hela
Mkuu Voda 2000/= unapata MB 5000 kwa mwezi......inatisha mechi ngapi ?Hata sikuelewi unasimamia wapi. Mimi nimeuliza unaweza kuweka bundle la 2300 ukaangalia mechi zote hizo tatu kwa mfano? Hizo habari za Mobdro nilishaacha ni usumbufu tu, siwezi kuangalia mpira kwenye simu. Ukweli ni kuwa internet ya Tz bado haijaweza ku-support haya mambo. Anyway wewe angalia tu kwenye simu mimi nitaangalia Dstv.
Tatzo dar cable tv zimezuiwa huku mikoani tunapeta 15k kwa mwezi being sport na canal+ ni bwerereNaombeni mtoe maelezo ambaya yanaeleweka, mtu kauliza tunaipataje kila mtu online
Tununue device gani zitakazoweka kustream kupata hizo channel ili kuondokana na hili dubwana la dstv
Aisee sikujua kama bundle ni bei rahisi hivyo. Huko kusumbua kwa internet ndio tatizo kubwa ambalo lingetatuliwa waangaliaji wa mpira kwa streaming wangeongezeka.Mkuu Voda 2000/= unapata MB 5000 kwa mwezi......inatisha mechi ngapi ?
Halotel kwa halo pesa kuna nyogeza ya 30% yaani bando la 500 unapata kwa 385/= la 1000/= nalipata kwa 770/=
Sasamechi moja haimalizi hata MB 450 hovyo nikiwa na elfu 1200/= napata MB 1350 au 1500 naangalia.nechi 3 na babdo linabaki
Kuhus intaneti kusumbua ina muda na muda...eneo na eneo. hakuna anayebisha