Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ?
Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda Tukupandishe" ilichukua siku 8+ kupandishiwa hiyo huduma, kuna wakati ukipigia wahudumu wanasema Watu wa Offer hawajaingia kazinini coz its weekend, mwingine anakujibu swala la offer ni kitengo kingine as kwamba yeye halimuhusu, kwakweli inakua kero sana.

Ok ! Tuyaache hayo ya zamani, Juzi hapa mmetangaza Offer ya kutoa shukrani kwa wateja wenu kwa kuwapatia full package for free kwa siku Tatu from 27 hadi tarehe 29 cha ajabu hamjafanya hivyo hadi leo hii Trh 28.
Tuulize hapa mwenye king’amuzi cha DSTv anayepata hiyo offer.

La mwisho, fundishe wahudumu wenu wawe uniform kwenye kusolve tatizo la mteja linalilofanana, mfano unaweza piga simu kwa Muhudumu no.1 juu ya changamoto ya E106 akakujibu tofauti kabisa na Muhudumu no.2 kwa tatizo hilo hilo.
 
Dstv karibu Kwa mjadala huu na mje na majibu ya maswali ya mteja wenu...

Asante
 
Back
Top Bottom