DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

DStv mnatutapeli na ofa yenu ya kupandishwa kifurushi

pansophy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
502
Reaction score
320
DStv Tanzania mmeamua kutuibia waziwazi au watu wenu wa huduma kwa wateja hawajui wanafanya nini.

Nimewapigia simu kabla sijanunua kifurushi wakanihakikishia ya kuwa ntapata kifurushi cha juu yake badala yake wakaanza kuleta stori ya kuwa kifurushi kilikuwa upgrade kutoka January.

Kama kuna mtu mwingine ametapeliwa na ofa hii aseme. Hii ni mara ya pili nakumbana na utapeli huu.

Kitengo cha huduma kwa wateja pamoja utawala wa multichoice Tanzania ujitathmini.
 
Labda kwako.

Jumapili iliyopita,niliupgrade to Family,wakaniongeza mpk Compact.

Changamoto pekee ni kutoa baadhi ya chanel(mfano Maisha Magic East)kupelekea kama kuna vipindi ulikua una vifuatilia utavikuta episodes nyingine kule maisha magic plus
 
Mkuu huenda wewe huku-upgrade kifurushi, ulilipia kifurushi kile kile cha mara ya mwisho ndomana.
 
Hata mimi waliniambia hivyo hivyo, kwamba wakati wanapanga hiyo promotion nilikuwa kifurushi cha compact na baadae nikahama kifurushi kuja family hivyo nilipolipia compact ili nipelekwe compact plus, ndio wakaanza porojo zao, ila mwanzoni walinihakikishia kuwa nikipanda watanipandisha. Ni matapeli tu kama matapeli wengine.
 
Same scenario mtaalam
 
Sasa ni mendoza wa Netflix na Startimes
 
Dstv sahv wanazingua kichz ..Maisha magic bongo sahv miyeyusho tuu hamna jambo wanarudia rudia Tamthilia ... Wameishiwa hawa hawana tofauti na startime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kufanya hivyo kipindi cha christmas. Nikaupgrade ikawa kimya baadaye kupiga simu wakasema inachukua saa 72 kuwa activated ikakubali kesho yake. Wapigie tena ile namba ya landline
 
Kwa Sasa nimatapeli kabisa Hawa DStv niliwapigia cm nawambia nataka nihame kutoka labda compact au family nipande Cha juu yake ntapata offer iyo mnayotangza ya kifurush Cha juu yake wakanambia ndio I'la unadaiwa elfu 15 lipa Kwanza ndio tuendelee, nikawauliza mlinikopesha lini na kwa mkataba gani na je Kuna kifurush Cha elfu15 ? Wakanambia subiri tutakupigia mpka leo adau kimyaaa.
 
Azam Tv hakuna uhuni uhuni tunasubiri offer ya ramadhan hapa
 
Pole sana...
Uki upgrade au ukilipia kilekile wanakupandisha cha juu yake...

Wameamua kukubania...

Mimi nimelipia kile kile Compact Plus hawajachelewa ndani ya dakika chache wamenipeleka cha Premium...
 
Dstv hovyo kabisa, wanapandisha vifurushi na kuwa kandamizi sana.Me nimewadai hela yangu warudishe.

Sitaki ujinga. Nitanunua kampuni ingine tu.
 
Kwa Sasa nimatapeli kabisa Hawa DStv niliwapigia cm nawambia nataka nihame kutoka labda compact au family nipande Cha juu yake ntapata offer iyo mnayotangza ya kifurush Cha juu yake wakanambia ndio I'la unadaiwa elfu 15 lipa Kwanza ndio tuendelee, nikawauliza mlinikopesha lini na kwa mkataba gani na je Kuna kifurush Cha elfu15 ? Wakanambia subiri tutakupigia mpka leo adau kimyaaa.
Matapeli sn
 
Hata mimi waliniambia hivyo hivyo, kwamba wakati wanapanga hiyo promotion nilikuwa kifurushi cha compact na baadae nikahama kifurushi kuja family hivyo nilipolipia compact ili nipelekwe compact plus, ndio wakaanza porojo zao, ila mwanzoni walinihakikishia kuwa nikipanda watanipandisha. Ni matapeli tu kama matapeli wengine.
Uhuni tu
 
Back
Top Bottom