Same scenario mtaalamHata mimi waliniambia hivyo hivyo, kwamba wakati wanapanga hiyo promotion nilikuwa kifurushi cha compact na baadae nikahama kifurushi kuja family hivyo nilipolipia compact ili nipelekwe compact plus, ndio wakaanza porojo zao, ila mwanzoni walinihakikishia kuwa nikipanda watanipandisha. Ni matapeli tu kama matapeli wengine.
Matapeli snKwa Sasa nimatapeli kabisa Hawa DStv niliwapigia cm nawambia nataka nihame kutoka labda compact au family nipande Cha juu yake ntapata offer iyo mnayotangza ya kifurush Cha juu yake wakanambia ndio I'la unadaiwa elfu 15 lipa Kwanza ndio tuendelee, nikawauliza mlinikopesha lini na kwa mkataba gani na je Kuna kifurush Cha elfu15 ? Wakanambia subiri tutakupigia mpka leo adau kimyaaa.
Uhuni tuHata mimi waliniambia hivyo hivyo, kwamba wakati wanapanga hiyo promotion nilikuwa kifurushi cha compact na baadae nikahama kifurushi kuja family hivyo nilipolipia compact ili nipelekwe compact plus, ndio wakaanza porojo zao, ila mwanzoni walinihakikishia kuwa nikipanda watanipandisha. Ni matapeli tu kama matapeli wengine.
Package ya 20k nayo ya kudai?Dstv hovyo kabisa, wanapandisha vifurushi na kuwa kandamizi sana.Me nimewadai hela yangu warudishe.
Sitaki ujinga. Nitanunua kampuni ingine tu.