Mkuu nimelipa hivo na Chanel nazoona Dstv ni ss3,4,5,6,7,8 na 10,blitz.labda unambie zinaonyeshwa kwenye Ss maximo ndo sioniMkuu ni kweli unachozungumza au changamsha genge
Kumbuka wao wanachaji kwa dola so unaweza kuta icho ulichonunua sio cha ligi zote
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Crystal Palace? ya lini hii gameHapa naangalia Epl (Liverpool Vs Crystal palace) kupitia Azam Tv,burudani kwa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
uongoHapa naangalia Epl (Liverpool Vs Crystal palace) kupitia Azam Tv,burudani kwa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
picha ya kichina au vipi mkuu?
Huwa wanaonesha uefa, europa, epl na la liga, bundesliga, serie A na French league 1 dstv hawanaHabari wakuu,, mim ni mdau mkubwa wa Dstv nina miaka sita natumia,miaka iliopita Dstv walikuwa wanaonyesha lig mbalimbali,sasa msimu nimelipa kifurushi cha 122,500. Hivi ni kwel Dstv haionyeshi lig zingine? Na je ntawezaje kuona lig kama Bundesliga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Channel gan inaonyesha hapo azam?Hapa naangalia Epl (Liverpool Vs Crystal palace) kupitia Azam Tv,burudani kwa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaahaaahaaa umenifanya nicheke mkuu.ila nimecontact nao sasa hiv yule customer care kanambia mfuko wako mdogo wanaangaliaHapa naangalia Epl (Liverpool Vs Crystal palace) kupitia Azam Tv,burudani kwa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye Other Tv Channels kisha 1193 RTS1Channel gan inaonyesha hapo azam?
La Liga inaanza leo. Tulia utaonaMkuu nimelipa hivo na Chanel nazoona Dstv ni ss3,4,5,6,7,8 na 10,blitz.labda unambie zinaonyeshwa kwenye Ss maximo ndo sioni
Sent using Jamii Forums mobile app