Dstv ndo kusema inaonyesha ligi ya EPL tu.

Ukitaka kuangalia Serie A kwenye DSTv kuna channel inaitwa Rai Italia, unaangalia Serie A Live
 
Sidhani kama ni kweli wewe ni mdau wa DSTV miaka 6 then hujui ligi wanazonyesha Kwa package uliyolipia DSTV unapaswa kuona EPL,La Liga,Serie A,Champions League,Uropa League na nyinginezo ligi ambazo huwezi kuona ni Bundesliga na Ligue 1
 
Dstv wanazengua sana sasa ivi zamani ulikuwa una angalia epl, la liga, bundersliga na serie A na mechi zote za UEFA

ila cku izi unangalia epl, fa, capital one na la liga na izo za uefa ukitaka seria A itafute Rai tena wanaoneshaga mechi za zile giant team tu za italy

izi serie A na bundersliga zipo star times

G.O.M.D
 
Ukitaka kuangalia Serie A kwenye DSTv kuna channel inaitwa Rai Italia, unaangalia Serie A Live
sema uangalie kwa uhuru kama zamani wana mtindo wa kuchagua game so ikitokea cku juve, napoli, inter, ac milan au roma zinacheza mda mmoja utaangalia game moja tu za hao top team ila km wanacheza mda tofauti ndo uta enjoy

G.O.M.D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…