DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

Channel za maana ndio zipi?unaona SS4,5,9,10 nadhani pia movie zipo Mnet Movies,Telemundo,EVA+ nk
Kwa kweli kifurushi hiki hakina chaneli za maana kwangu. Kwangu chanel za maana ni skynews, cnn, skysports, bbc, aljezeera, discovery channel zote, nat geo, cartoons chanel, music chanels, espn, supersports tv hasa S3, channel za dini hasa inayoonyeshaga kanisa la Joel Osteen etc.
 
Jiunge kifurushi cha Compact bei ni Tsh.69,000
 


Maharage Chande Mzaramo wa Kisarawe fanya vitu hapo kwani Dunia inabadilika so fast na kwa kuwa umesomea biashara haya tunasubiria ubunifu wako
 
Globalization inataka uwe mjanja sana kutoboa, naagalia ghalama wanazosema wachangiaji humu wakati mimi naangalia ligi zote ikiwemo UEFA, tennis, mbio za magari, movie, History channel, discovery, animal planet, CNN, Sky news,BBC, Disney junior, Mtv music,.....local zote, kwa chini ya 25,000/= (tahadhali hakikisha wewe sio mpangaji maana unahitaji dish 2 za ft 8 na 6 sasa nyumba ya watu utaigeuza studio za ITV!!!)
 
Unafanyaje hii mkuu?
 
Acha uwongo, vifurushi vya epl siyo 80000+ kama unavyosema, labda ulihadithiwa na jirani yako ambae naye alihadithiwa....huna dstv!
kifurushi cha chini cha dstv ni tsh 19000 sema kwa wale wa mipira hapa hamna chaneli nyingi za mipira
 
Chanel ya maisha magic tu ndio nnayo imiss coz nna visimbuzi viwili sikitumii cha dstv coz SS3,SS7,SS5,SS1,SS11,SS12 CHANEL ZOTE MUHIMU ZA ePL hazipatikani kwenye vifurushi vya kawaida vya compact 19000, hivyo sioni umuhimu wao tena
 
nimesikia wanapunguza sept 1 bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…