Walisema Wamerudisha channel za nyumbani sio za bureeWalikuja kwa moto sana wakidai wamerejesha channels za bure! Kumbe ilikuwa nguvu ya soda, wamenyofoa zootee!!! Kwako Nape
Hasa ITV na EATVKwa status na unyama wa dstv hata wangeyafuta kabisa poa tu yanachafua heshima ya dstv kwanza ndio yanaongoza kwa poor image view
Lipia kifurushiWalikuja kwa moto sana wakidai wamerejesha channels za bure! Kumbe ilikuwa nguvu ya soda, wamenyofoa zootee!!! Kwako Nape