SI KWELI DStv wapandisha gharama za vifurushi kwenye king'amuzi kutokana na tozo za Serikali

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Imeripotiwa tozo za Serikali kwenye ving'amuzi itaanza rasmi Septemba 1 kwa DStv kutangaza gharama mpya ya vifurushi.

 
Tunachokijua
DStv wamethibitisha kuwa vifurushi vimepanda kwa ongezeko la kawaida si tozo za Serikali. Taarifa za kupandisha kutokana na Tozo za Serikali ni za kutungwa tu.

Kupanda wanakubali wamepandisha ila sababu ya kupandisha ndo wanakataa kuwa sio sababu ya tozo kumbe ni sababu ya nini!!?? Yaani serkal inaogopwa na wawekezaji hivi je mwananchi wa kawaida inakuwaje sababu ni hiyo hiyo ya kodi na matozo ila hawawezi kusema hapa walikatazwa wagugumie kimya kimya cha mtema kuni tunakipata sisi tuliopandishiwa bei..hatari kuwa raia tanzania yataka moyo
 
Tutakua tunaangalia taarifa ya habar tuu na miziki kuhusu muv tutakod hapa libraly
 
Ina uzushi upi hii habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…