Acha ushamba ,Dstv iuliwe mpaka ishindwe kujiendesha na takataka ya Azam ? ,,DSTV iko Afrika nzima ,suala ni kwamba DSTV walikuwa wanapitia financial crisis na hawa kuingiza faida ya kutoshaDstv vimewaua vitu viwili
1 competitive rivalry within the industry
Kwa Bongo Azam..kachangia sana kuwaua hawa ndugu
Ukizingatia jamaa wanatengeneza part local content na Dstv hawana local content za kutosha
2.Threat of substitute services or products eg online Tv,app enabled tv etc
Wala sio kweli labda mipira ya huko kwenu mbwinde niambie epl unaionaje au uefa champions leagueDstv walifanya biashara vizuri sababu ya kuonyesha mpira, sasa hivi watu Wana smart TV hivyo sio lazima uwe na dstv kuona mpira, ni bando lako kidogo tu unacheki mpira
Watu wengine wajinga yani dstv ije iuwawe na azam daah😀Acha ushamba ,Dstv iuliwe mpaka ishindwe kujiendesha na takataka ya Azam ? ,,DSTV iko Afrika nzima ,suala ni kwamba DSTV walikuwa wanapitia financial crisis na hawa kuingiza faida ya kutosha
Aisee ungeongea bila kutukana usingeeleweka?hiyo niliyotoa mimi ni perspective yangu aisee kama wewe ulivyotoa opinion yakoAcha ushamba ,Dstv iuliwe mpaka ishindwe kujiendesha na takataka ya Azam ? ,,DSTV iko Afrika nzima ,suala ni kwamba DSTV walikuwa wanapitia financial crisis na hawa kuingiza faida ya kutosha
Hata mimi nalipia ila kuna ofa inaisha leoKuanzia tar 1 August watapandisha tena vifurushi vyao vyote, Mimi nilikuwa nalipa Tsh 39,000/= Kwa mwezi na sasa itakuwa Tsh 40,000
IPTV na VOD ndio zinatumikaje Mzee ....Wasauz wajanja sana🤣🤣wasingefika 2030...IPTV,VOD ilikuwa ndo inawamaliza Kila kukicha. Na hao Canal wawe makini sana wanaweza kupata hasara- ROI ikawa tatizo Kutokana na uraisi wa upatikanaji wa Movie na TV programs kupitia Fibre na 5G broadband
Wataangalia wenyewe
Sii unazichanganya pamoja mix by yas fasta tuuSasa mimi mwenye CANAL na DSTV itakuaje
IPTV ni TV inayotumia Internet badala ya satellite dishes au RF Antennas. VOD ni huduma ya kuangalia Movies etc Unayotaka wewe muhusika na sio kama DSTV Movie wanaweka studio na mtazamaji ana uwezo wa kuchagua anachotaka angalia..Mfano Hulu/Netflix . Nna uwezo wa kuchagua Nini cha kuangalia,naweza sogeza Mbele kile nnachoangalia,naweza stopisha niangalie baadae etc.So Huduma kama DSTV azina miaka mingi kwenye soko na Nchi kama USA nyingi zimeshafungwa.Tafuta hii app (nimeatach screen shot yake hapa) ina zaidi ya Movies,series 10,000.unazoweza angalia utakavyo wewe hii ni mfano wa VODIPTV na VOD ndio zinatumikaje Mzee ....
🤣🤣🤣 Pole sana!! Big cooporates Kuna rushwa pia...Washauri wako wanaweza pewa kitu kidogo wakapika Data ukaingizwa mkenge...Na pia kabla ya kuongea au kuposti kitu Fanya utafiti kwanza ata google tu ufiche upumbavu wako.Wabongo bhana kwa ujuaji.....yaani wao ndio wajuzi na wachambuzi wa soko kuliko aliefanya maamuzi ya kuwekeza trillion 5
Jamaa ata Sauz kwenyewe wapo hoi-wateja wengi wameachana nao.wapo bize na NetflixAisee...multi choice ilikua inapumulia mashine kutokana na ushindani mkubwa uliopo Sasa wakaamua isiwe kesi ..kwaio sasahivi dstv itabadilishwa jina?
Wajanjaa saana.Wasauz wajanja sana🤣🤣wasingefika 2030...IPTV,VOD ilikuwa ndo inawamaliza Kila kukicha. Na hao Canal wawe makini sana wanaweza kupata hasara- ROI ikawa tatizo Kutokana na uraisi wa upatikanaji wa Movie na TV programs kupitia Fibre na 5G broadband
Ligi yenu ya kuangalia Kengold na Tanzania Prison?Yaan baada ya hii ligi yetu kuoneshwa na azam sahv watu hawana time na ligi za ulaya hata kwa mjini watazamaj wamepungua sana
Kidogo uefa bado inawatazamaji wengi
Ukweli ni DSTV wamepoteza soko baada ya ujio wa Runinga Janja.Acha ushamba ,Dstv iuliwe mpaka ishindwe kujiendesha na takataka ya Azam ? ,,DSTV iko Afrika nzima ,suala ni kwamba DSTV walikuwa wanapitia financial crisis na hawa kuingiza faida ya kutosha
Mimi DSTV niligawa mwaka 2022..na kwakuwa sio mpenzi sana wa mpira wa miguu- nipo na app zangu kadhaa naangalia nivipendavyo,kikubwa bando tuWajanjaa saana.
Tunapoenda hakuna watu wa kufuatilia TVs....watu wamehamia kwenye smart TV, android TV kisha tunadownload apps tunazotaka. Sidhani kama wa.euza Showmax???
Bado nashangaa watu wanasubsribe hivi vifurushi wanavyolalamika vinapanda bei kila mwezi.
Solution: wanunue smart tvs then subscribe Showmax wanaonyesha mpira, au apps zingine. Gharama haizidi hata elfu 20.
Mambo ya zamani saana hayo.Mimi DSTV niligawa mwaka 2022..na kwakuwa sio mpenzi sana wa mpira wa miguu- nipo na app zangu kadhaa naangalia nivipendavyo,kikubwa bando tu
Unaweza kumjibu mtu akakuelewa vyema na mkakubaliana pasi na kutumia lugha za kihuni kejeli au matusi na huo ndio tunauita ukomavu wa akili!!!🤣🤣🤣 Pole sana!! Big cooporates Kuna rushwa pia...Washauri wako wanaweza pewa kitu kidogo wakapika Data ukaingizwa mkenge...Na pia kabla ya kuongea au kuposti kitu Fanya utafiti kwanza ata google tu ufiche upumbavu wako.
Reasons for Subscriber Loss:
Price Increases:
DStv has faced criticism for increasing subscription prices, which has led some customers to cancel their subscriptions.
Economic Hardship:
Challenging economic conditions across sub-Saharan Africa have impacted consumers' ability to afford pay-TV subscriptions.
Competition from Streaming Services:
The rise of streaming platforms like Netflix and Showmax has provided alternative entertainment options, contributing to the decline in DStv subscriptions.
Piracy:
The prevalence of piracy has also played a role in the decline of DStv subscribers.
Yeye ndo ameanza kejeli! Anafikiri watu wote wanapost utumbo kama yeye? Apeleke msongo wake wa mawazo kwa mkewe .TIT for TAT akiwa mtarabu ata kuwa treated kistarabu simple.mitandaoni Kuna watu wanaweza kutusi,kuongea vibaya juu ya wengi ata amjuani.... Kisa ana msongo wa mawazo au khasira zake binafsi! Ni ujinga sanaUnaweza kumjibu akakuelewa vyema na mkakubaliana pasi na kutumia lugha za kihuni kejeli au matusi na huo ndio tunauita ukomavu wa akili!!!
Hizo moviebox,sijui netnaija, mkiri nazifahamu ..turudi hapo kwenye IPTV ....IPTV ni TV inayotumia Internet badala ya satellite dishes au RF Antennas. VOD ni huduma ya kuangalia Movies etc Unayotaka wewe muhusika na sio kama DSTV Movie wanaweka studio na mtazamaji ana uwezo wa kuchagua anachotaka angalia..Mfano Hulu/Netflix . Nna uwezo wa kuchagua Nini cha kuangalia,naweza sogeza Mbele kile nnachoangalia,naweza stopisha niangalie baadae etc.So Huduma kama DSTV azina miaka mingi kwenye soko na Nchi kama USA nyingi zimeshafungwa.Tafuta hii app (nimeatach screen shot yake hapa) ina zaidi ya Movies,series 10,000.unazoweza angalia utakavyo wewe hii ni mfano wa VOD