KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Sio yeye ni mimi ndio niliyeandika ile post......Katika hali ya kawaida kampuni yoyote hufanya uchunguzi wa namna ya kupata faida kabla ya kufanya uwekezaji....ukiachana na DStv kuonekana kuwa wako hoi kibiashara kwa mujibu wa data zako..... unadhani canal ni wajinga wafanye huo uwekezaji pasi na kujiridhisha namna ambavyo pesa Yao itarudi?Yeye ndo ameanza kejeli! Anafikiri watu wote wanapost utumbo kama yeye? Apeleke msongo wake wa mawazo kwa mkewe .
Nimesema Data Upikwa!! Canal lazima waliajiri Consultant wa kuwashauri juu ya hii deal....Ukisoma kwanza walitoa ofa ya 2 B Kisha wakaongeza to 5B. Kwa hali ya kawaida na uelekeo wa Biashara za cable TV Duniani ,aiingii akilini kwa kampuni kama Canal kununua Biashara ambayo tunaweza sema kwa sasa imeingia jioni ya saa 12 nanusu kuelekea usiku....data zipo wazi.Sasa aiingii akilini mtu anatoka huko anapost Ujinga ujinga Kisha umnyamazie....Sina msongo wa mawazo Wala any mental problems. Nipo timamu ,happy and peacefully na najua kesho yangu. Na nnajua UKWELI so nipo huru pia😁Sio yeye ni mimi ndio niliyeandika ile post......Katika hali ya kawaida kampuni yoyote hufanya uchunguzi wa namna ya kupata faida kabla ya kufanya uwekezaji....ukiachana na DStv kuonekana kuwa wako hoi kibiashara kwa mujibu wa data zako..... unadhani canal ni wajinga wafanye huo uwekezaji pasi na kujiridhisha namna ambavyo pesa Yao itarudi?
Mbona kama inaonekana wewe ndio mwenye msongo wa mawazo kwa namna unavyojibu kwa jazba hata kwenye mambo mepesi kama haya!!
Unaweza ukawa na uelewa mkubwa kwenye jambo lakini uwasilishaji wako ukatoa maana nzima ya mantiki yako!!
Unaonekana ni mtu mwenye exposure na uelewa mpana wa mambo lakini una tatizo la UJIVUNI na JAZBA....
Kuunyamazia "ujinga" sio sawa lakini kumkejeli mjinga sio sawa......tiba ya mjinga ni kuelimishwaNimesema Data Upikwa!! Canal lazima waliajiri Consultant wa kuwashauri juu ya hii deal....Ukisoma kwanza walitoa ofa ya 2 B Kisha wakaongeza to 5B. Kwa hali ya kawaida na uelekeo wa Biashara za cable TV Duniani ,aiingii akilini kwa kampuni kama Canal kununua Biashara ambayo tunaweza sema kwa sasa imeingia jioni ya saa 12 nanusu kuelekea usiku....data zipo wazi.Sasa aiingii akilini mtu anatoka huko anapost Ujinga ujinga Kisha umnyamazie....Sina msongo wa mawazo Wala any mental problems. Nipo timamu ,happy and peacefully na najua kesho yangu. Na nnajua UKWELI so nipo huru pia😁
Hii biashara sijaelewa... Mbona kama sio faida kwa Multi Choice? Kama ina wateja milioni 19 na wakalipa wastani wa 20,000 tu kwa mwezi ni sawa na 380m kwa mwaka ni 4.56Trilion... Sasa hapo imeuzwa kwa 5Trilion, pato la mwaka mmoja tu...Kampuni ya MultiChoice ambayo ni mmiliki wa DStv na GOtv wamekubaliwa kuuzwa kwa Canal+ kampuni ya Ufaransa kwa kiasi dola bilioni 3.1 (Tsh. Trilioni 5).
MultiChoice ina wateja milioni 19.3 na pia inamiliki asilimia 49 ya BetKing.
Kwa mfano hata piki piki mtu ukimuuzia mpya kwa jumla faida lakini nne lakini yeye hiyo laki nne ndani ya mwezi mmoja piga hesabu kwa mwaka!!!Hii biashara sijaelewa... Mbona kama sio faida kwa Multi Choice? Kama ina wateja milioni 19 na wakalipa wastani wa 20,000 tu kwa mwezi ni sawa na 380m kwa mwaka ni 4.56Trilion... Sasa hapo imeuzwa kwa 5Trilion, pato la mwaka mmoja tu...
Anyway, sijasomea fedha wala biashara, watajua wenyewe!!!
Mkuu, kitendo cha mtu kuangalia TBC n.k kwa njia ya internet ndio huitwa IPTV.Hizo moviebox,sijui netnaija, mkiri nazifahamu ..turudi hapo kwenye IPTV ....
Mkuu kuna taste fulani hivi ya kufukuzana na ratiba ya vipindi vya TV. Mfano Startv ama Channel 10 huwa wanarusha documentaries mbalimbali kutoka DW na CGTN ambazo zipo youtube, shida ni kwamba ukifungua youtube na ku-play hizo documentaries huwa hazikupi taste na attention kama utakayoipata zikiwekwa kwenye TV stations.Wajanjaa saana.
Tunapoenda hakuna watu wa kufuatilia TVs....watu wamehamia kwenye smart TV, android TV kisha tunadownload apps tunazotaka. Sidhani kama wa.euza Showmax???
Bado nashangaa watu wanasubsribe hivi vifurushi wanavyolalamika vinapanda bei kila mwezi.
Solution: wanunue smart tvs then subscribe Showmax wanaonyesha mpira, au apps zingine. Gharama haizidi hata elfu 20.