Du ,ama kweli wanaume tunamajaribu makubwa

Kakuambia nani kuwa na matako makubwa ndo kutumika acha kukariri
Mi sijasema ukiwa na matako makubwa ndio kuwa used HAPANA,huyo dada kwa kumwangalia tu yuko sokoni,unajua hiyo picha inaonwa na watu wangapi na wanaomtokea ni wangapi na ana kipato kiasi gani kinachomweka mjini,mwanaume lazima ujiulize hivyo halafu uje na KANUSHO au KUBALI kua mita yake imesoma sana na inaendelea kusoma.Fuatilia yawezekana anaishi kwenye APARTMENT ya gharama lakini analipa na hana kazi maalum mjini.
 
wavulana mna kazi! huyo nae anakupa majaribu gani? someni sana mpate pesa mtembee muone dunia. hiyo hamna lolote.

Nani kakwambia kusoma sana ndo kupata pesa, wangapi wamesoma lkn maisha ni choka mbaya!!
Acha kukalili vitu.
 
wewe km uko bize kwenda fym kutafuta six packs badala ya kuwa bize kutafuta six figures per hour hawa watoto utafanya kuwaona kwenye video tu...
 
wewe km uko bize kwenda gym kutafuta six packs badala ya kuwa bize kumake six figures per day basi watoto km hawa utaishia kuwaona tu kwenye video.....
Wapo bana Kitaaa Chuo Mpaka Ofisini sema Tu huyu anajulikana kwa kuwa ni video vixen na Scandal za Ajabu ajabu
 
Wapo bana Kitaaa Chuo Mpaka Ofisini sema Tu huyu anajulikana kwa kuwa ni video vixen na Scandal za Ajabu ajabu
uko sahihi mkuu, ni kweli wapo kila mahali ila kujiweka hadharani ni habari nyingine, unajua ni wangapi wenye fedha zao wanamnyemelea? Tanzania ni kubwa mkuu, hapo bado nchi za nje, na anaishi maisha ya kigetikali hana kazi pengine kaishia form four, acha kichwa kinavopanuka kila anapotafutwa. fikiria acccount zake kwenye social networks watu wangapi wana mtumia text na ahadi kibao za pesa sababu huyu ni mjasiria mwili. na kwambia kutoka kwenye uvungui wa moyo wangu hapana kitu kitu hapo.
 
Kwani kaachana na yule mwigizaji anayefanana na kanumba cjui anaitwa nani maana naona kafuta mapicha yao yote
 
Rammy Galis demu anachuna mnooo halafu ukiwa nae kubal tu kushare na mapedejee
 
Hahahahaha we noma
 
Hakuna kitu hapo...Siku ya Siku hata ukitembea na mwanamke kichaa utako***joa....na ndo lengo.. #uT_izaK_apaH
 
Hamnamo maanake hapo. Ukibisha jaribu kama hutaishia kusononeka vibaya
 
Ajengewe mnara nje uwanja mpya wa taifa tukikosa tiketi tuwe tunamcheki tu tu tu tuuuuu dakika tisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…