Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana jamani sio kila lisemwalo lina mantiki, hata mimi nimesikia mara nyingi sana watu wakisema hivyo. ila kwa ufahamu wangu, chakula kiliuzwa miaka mingi sana kabla ukahaba haujaanza
UMALAYA ni biashara kongwe zaidi duniani - umalaya ni neno jipya - neno kongwe ni UKAHABA!
Kumbuka Sodoma na Gomora kwa wanaoamini au wanaosoma biblia ndiyo ujue vizuri kuwa ni biashara tena iliyolaaniwa
ndio maana yake, toka enzi za JESUS
mimi nilidhani ni biashara ya chakula ndio kongwe zaidi na iliendeshwa kwa barter system
most people here are merely playing with their keyboards!