du! mechi ya yanga na prison

geofreyngaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
658
Reaction score
946
mimi napenda mpira wa miguu lkn leo nilikua na angalia mpira nikidhan ni wabunge wanacheza mechi ya kirafiki Dodoma, kutaamaki lahaula kumbe ni yanga na prison. Kwa kiwango hiki tuna safari ndefu.
nasubiri matusi!!!!!
 
Ndo tz yetu mkuu, kila upande holelaholela tuu
 
Matusi gani mkuu. Ukweli utakuweka huru .
 
only the truth will make human free.watanzania tujaribu michezo mingine kama kukimbiza kuku anyway [HASHTAG]#wachezaji[/HASHTAG] bado wako wanatafakari press ya mkuu wa kaya ya kuona ndondo ni bora zaidi vpl.
 
Kama yule mchezaji wa prison anakunja ngumi kwa chirwa kutoka uwanjani polepole sijui wamemtoa kichochoro gani ligi ni mbovu sana huwezi kulinganisha na ligi za wenzetu ni aibu sana.
 
Twendeni tu,muda si mrefu mtaanza kurudia kauli zenu za msimu uliopita.
 
Unapenda matusi? Hatunaga sisi,.... Ila uache hiyo tabia ya kupenda matusi.. Utaharibikiwa.
 
Ungekua wewe sio mnazi wa timu flani basi ungejadili mpira wa Tanzania kwa ujumla ulivyo mbovu na sio kuwa sema yanga
 
mimi napenda mpira wa miguu lkn leo nilikua na angalia mpira nikidhan ni wabunge wanacheza mechi ya kirafiki Dodoma, kutaamaki lahaula kumbe ni yanga na prison. Kwa kiwango hiki tuna safari ndefu.
nasubiri matusi!!!!!
Mkuu sunajua yanga mpaka wahonge!!?
 
mimi napenda mpira wa miguu lkn leo nilikua na angalia mpira nikidhan ni wabunge wanacheza mechi ya kirafiki Dodoma, kutaamaki lahaula kumbe ni yanga na prison. Kwa kiwango hiki tuna safari ndefu.
nasubiri matusi!!!!!

Kama yule mchezaji wa prison anakunja ngumi kwa chirwa kutoka uwanjani polepole sijui wamemtoa kichochoro gani ligi ni mbovu sana huwezi kulinganisha na ligi za wenzetu ni aibu sana.
kweli..! dah! soka letu hamna kitu...refa anasukumwa kadi hatoi..! anachezesha game yupo nervous, kuna penalties 2 kawanyima yanga kwa ajili ya uoga! something must be done....la sivyo tutakuwa watazamaji wa leagues za wenzetu milele
 
mimi napenda mpira wa miguu lkn leo nilikua na angalia mpira nikidhan ni wabunge wanacheza mechi ya kirafiki Dodoma, kutaamaki lahaula kumbe ni yanga na prison. Kwa kiwango hiki tuna safari ndefu.
nasubiri matusi!!!!!
Acha porojo na maneno mbofumbofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…