Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Wananchi wa kijiji cha Kizimkazi wameungana pamoja katika Dua maalum ya Kumuombea kheri ya kuzaliwa Dkt. Samia Suluhu Hassani.
Dua hiyo imefanyika katika Uwanja wa kizimkazi Dimbani huku viongo mbalimbali wa Serikali na chama wakijumuika katika Dua hiyo iliyoongozwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar.