Pre GE2025 Dua maalum ya kumuombwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140


Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Wananchi wa kijiji cha Kizimkazi wameungana pamoja katika Dua maalum ya Kumuombea kheri ya kuzaliwa Dkt. Samia Suluhu Hassani.


Dua hiyo imefanyika katika Uwanja wa kizimkazi Dimbani huku viongo mbalimbali wa Serikali na chama wakijumuika katika Dua hiyo iliyoongozwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja na Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar.
 
😁😁😁😁😁 mambo za kishamba kama hizi huwezi zikuta RC
 
Tanzania muisilam shekhe ponda peke yake
 
Hii nchi inahitaj watu kama m23 tumechoka na hizi drama
 
Hao wazee ndio wanaongoza kutusema vijana wa sasa eti hatujielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…