Dua maalum ya kuvuta pesa

Dua maalum ya kuvuta pesa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Pesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie.
Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe.
Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila sehemu niliyosoma.
Njooni pesa mnitumikie, nitumikieni mashambani kwangu, kwenye biashara zangu Na kwenye Kila nilifanyalo.
Njooni pesa kwa njia yoyote ya halali. Njooni hata kwa Biko, Tatu mzuka, bet Na njia nyingine zozote.
Kwa Haya mafuta ya Koresh niliyonayo, msiende mbali nami kamwe.
 
Unamsongo wa mawazo ya pesa wewe sio bure
 
Hii thread inaweza kuwa utani ila technic hio inafanyakazi. Kama umesoma vitabu vya Napoleon Hill kuna mafunzo hayo, anakwambia weka akilini (nuia) kiasi cha pesa unachotaka upate (mfano $10m) halafu andika kwenye sehemu chumbani kwako au popote 'KATIKA BIASHARA/SHUGHULI ZANGU NATAKA NIPATE $10M' uwe unasoma kwa sauti kila ukienda kulala na kila ukiamka. Kitendo hiki kitafanya hii meseji iingie kwenye SUBCONCIOUS MIND yako ambayo itaipa uwezo CONSCIOUS MIND yako kupata njia za kutengeneza hio pesa kwa kupitia INFINITY INTELLIGENCE.
 
Najaribu kuwafundisha wana JF nguvu iliyopo kwenye maneno ynayojinenea. Maneno huumba Na maneno huua
 
Pesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie.
Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe.
Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila sehemu niliyosoma.
Njooni pesa mnitumikie, nitumikieni mashambani kwangu, kwenye biashara zangu Na kwenye Kila nilifanyalo.
Njooni pesa kwa njia yoyote ya halali. Njooni hata kwa Biko, Tatu mzuka, bet Na njia nyingine zozote.
Kwa Haya mafuta ya Koresh niliyonayo, msiende mbali nami kamwe.
Kanisa lako litapata nyomi hilo balaa
 
Back
Top Bottom