Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hayo umeyasema wewe.Unamsongo wa mawazo ya pesa wewe sio bure
Pesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie.
Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe.
Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila sehemu niliyosoma.
Njooni pesa mnitumikie, nitumikieni mashambani kwangu, kwenye biashara zangu Na kwenye Kila nilifanyalo.
Njooni pesa kwa njia yoyote ya halali. Njooni hata kwa Biko, Tatu mzuka, bet Na njia nyingine zozote.
Kwa Haya mafuta ya Koresh niliyonayo, msiende mbali nami kamwe.
Heeh!!
Hii thread inaweza kuwa utani ila technic hio inafanyakazi. Kama umesoma vitabu vya Napoleon Hill kuna mafunzo hayo, anakwambia weka akilini (nuia) kiasi cha pesa unachotaka upate (mfano $10m) halafu andika kwenye sehemu chumbani kwako au popote 'KATIKA BIASHARA/SHUGHULI ZANGU NATAKA NIPATE $10M' uwe unasoma kwa sauti kila ukienda kulala na kila ukiamka. Kitendo hiki kitafanya hii meseji iingie kwenye SUBCONCIOUS MIND yako ambayo itaipa uwezo CONSCIOUS MIND yako kupata njia za kutengeneza hio pesa kwa kupitia INFINITY INTELLIGENCE.Unamsongo wa mawazo ya pesa wewe sio bure
Najaribu kuwafundisha wana JF nguvu iliyopo kwenye maneno ynayojinenea. Maneno huumba Na maneno huuaHii thread inaweza kuwa utani ila technic hio inafanyakazi. Kama umesoma vitabu vya Napoleon Hill kuna mafunzo hayo, anakwambia weka akilini (nuia) kiasi cha pesa unachotaka upate (mfano $10m) halafu andika kwenye sehemu chumbani kwako au popote 'KATIKA BIASHARA/SHUGHULI ZANGU NATAKA NIPATE $10M' uwe unasoma kwa sauti kila ukienda kulala na kila ukiamka. Kitendo hiki kitafanya hii meseji iingie kwenye SUBCONCIOUS MIND yako ambayo itaipa uwezo CONSCIOUS MIND yako kupata njia za kutengeneza hio pesa kwa kupitia INFINITY INTELLIGENCE.
A Na B zote sawani dua au nyimbo
tuma na voice tusikilize mashairiA Na B zote sawa
Kanisa lako litapata nyomi hilo balaaPesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie.
Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe.
Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila sehemu niliyosoma.
Njooni pesa mnitumikie, nitumikieni mashambani kwangu, kwenye biashara zangu Na kwenye Kila nilifanyalo.
Njooni pesa kwa njia yoyote ya halali. Njooni hata kwa Biko, Tatu mzuka, bet Na njia nyingine zozote.
Kwa Haya mafuta ya Koresh niliyonayo, msiende mbali nami kamwe.
Hii haihitaji kanisa, unaipiga daily chumbani kwako usiku na mchana then utaona matokeoKanisa lako litapata nyomi hilo balaa
Hii Dua haihitaji kanisaKanisa lako litapata nyomi hilo balaa
Dah! hahaaaa sawa, mkuuHii haihitaji kanisa, unaipiga daily chumbani kwako usiku na mchana then utaona matokeo