Nipo Uwanja wa Mkapa muda huu nikiombea Simba wapoteze mchezo wao wa leo
Mimi Ni mpenzi wa timu ya Wananchi na muda huu nipo kwa Mkapa kushuhudia mechi ya bingwa aliyemaliza Muda wake vs Kagera.
Naombea sana Simba wapoteze mchezo huu ili Wananchi tutangaze ubingwa mapema
Mnaoniunga Mkono Kwenye dua hili maalumu karibuni
Mimi MwanaYanga Kinakindaki