Dua : Msimbazi yarindima .

Sawa dua ni muhimu lkn kama ntakuwa tofauti na utaratibu wa kisheria mtanisamehe!!
"Mimi nionavyo kwa umuhimu alionao MO ndani ya simba na taifa kwa ujumla naomba wapenzi na wanachama wote wa Simba pamoja na wale walioguswa na hili, tuliongezee nguvu jeshi la polisi kwa kufanya msako mkali wa hatu kwa hatua ili kuhakikisha ndugu yetu MO anapatikana tena akiwa salama salimini"
 
Kuna wakati unafika maishani na inabidi kuondoa fikra na nguvu zote za kibinadamu na kumkabidhi mwenye SUPERNATURAL POWERS aliyetuleta humu duniani afanye kazi yake walahi!
IMANI!
 
Na mpira tena baaashhhhh
 
Poleni simba! Yanga pia tulipitia kipindi kigumu wakati mwenye kiti wetu alipopatwa na misukosuko! Najua tabu yake ndio mana naungana nanyi kumuomba Mungu Mo apatikane salama! Ila sasa muache dharau kwa wenye shida mana hakuna ajuae kesho yake! Daaa yani mnasikitika pengine kuliko mke na wanae
 
Naunga mkono hoja. Hakuna kitu imeniuma Kwa kipindi hiki kama kutekwa Kwa MO. Yaani naomba Mungu atende miujiza yake ili tumwone tena mpendwa wetu MO. Ni Tajiri pekee kijana asiye na Makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…