Dua ya kuiombea Simba Sc ushindi mechi ya leo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
FL9umYmXMAc6A7P.jpeg

"Eeh Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema muumba wa mbingu na dunia. Tunakuomba uifanyie wepesi timu ya Simba wawakilishi wa Tz iweze kupata ushindi jioni leo"

"Its you our LORD we worship and its you only we ask for assistance. God we beg you to bless Simba SC"

Ameeeeeeeeen

Mungu Ibariki Simba Sc, Mungu ibariki Tanzania
 
"Eeh Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema muumba wa mbingu na dunia. Tunakuomba uifanyie wepesi timu ya USGN wawakilishi wa Niger iweze kupata ushindi jioni leo"

"Its you our LORD we worship and its you only we ask for assistance. God we beg you to bless USGN"

Ameeeeeeeeen

Mungu Ibariki USGN, Mungu ibariki Tanzania na washabiki wote wa USGN ya Niger.

AMEN
AMEN
AMEN
 
View attachment 2124744

"Eeh Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema muumba wa mbingu na dunia. Tunakuomba uifanyie wepesi timu ya Simba wawakilishi wa Tz iweze kupata ushindi jioni leo"

"Its you our LORD we worship and its you only we ask for assistance. God we beg you to bless Simba SC"

Ameeeeeeeeen

Mungu Ibariki Simba Sc, Mungu ibariki Tanzania
Amina!
 
Dua Inaambatana Na Jitihada Pamoja Na Mipango Mizuri Ya Maboresho Ya Kikosi Kizima.

Sasa Mnachanganya Chupli Chupli Hapo Kinachotokea Kinajulikana Kabisa.
 
Simba iko fresh ni Mungu pekee akubali dua zetu.
 
Back
Top Bottom