[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha mamelodi achukue ubingwa halafu tuwaambie afrika bingwa halali alikuwa yanga !
Hersi aliwatabiria Al Ahly na Mamelod kucheza fainali,kuna jambo alishirikishwa na aliafiki,mchawi mnaye ndani ya nyumba.Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne.
Afungwe mechi zote.
Amen
Dua za wazizi na walevi huwa hazifiki popoteEeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne.
Afungwe mechi zote.
Amen
AmetolewaKIBOKO YA UTOPOLO ANAPITIA MATESO HUKO
JKTπΈπΈπππ₯π₯π₯
Masambwanda yamepigwa mbele na nyuma, nje ndani.... dua yako imepokelewa vema.Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne.
Afungwe mechi zote.
Amen
Njoo ufute hii.Dua za wazizi na walevi huwa hazifiki popote