Dua ya kuliombea bunge imekosewa

Dua ya kuliombea bunge imekosewa

Nilufer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
9,603
Reaction score
13,654
Mi naona dua ile inamdhalilisha Rais hasa pale ina inaposomwa "umjalilie rais wetu hekima". Mi nadhani ingeindika hivi " umzidishie Rais wetu hekima"

Ukisema umjalilie mtu hekima maana yake ni kwamba awali hakuwa na hekima kabisa Ila umzidishie hekima ndo neno sahihi.

Nawasilisha.
 
Kama mfalme solomon aliomba hekima kwa Mungu how about sizonje and the like???
 
Back
Top Bottom