Mi naona dua ile inamdhalilisha Rais hasa pale ina inaposomwa "umjalilie rais wetu hekima". Mi nadhani ingeindika hivi " umzidishie Rais wetu hekima"
Ukisema umjalilie mtu hekima maana yake ni kwamba awali hakuwa na hekima kabisa Ila umzidishie hekima ndo neno sahihi.
Nawasilisha.