Dua ya kumuombea Mbowe

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA.

Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki.

Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya chama, taifa, na mustakabali wa demokrasia, basi tuombe mapenzi Yako yatimie.

Mshushie baraka na umuinue awe kiongozi mwenye nia njema na atakayewatumikia watu kwa uadilifu. Amina."
MALARIA 2
 
Baada ya uchaguzi watakuwepo watakaoshinda na kauli mbiu itakuwa TUJENGE CHAMA, na atakae shindwa utasikia akisema uchaguzi huu n batili tunaenda mahakamani kukataa rufaaa😅😅😅
 
Anza Kwanza kumbadilisha dini awe muislamu ndipo dua zitapokelewa
 
Muokoeni huyu mzee kabla hajachanganyikiwa vzr

Your browser is not able to display this video.
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…