Uchaguzi 2020 Dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2020

mtwana

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
428
Reaction score
140
Wana ukumbi habari zenu,

Ama baada ya salamu, nlikua nina Ombi kutoka kwenu kwa ajli ya nchi yetu.

Ama kwa ombi lenyewe ni kuomba Dua kwa aliyetuumba, atujaalie uchaguzi wa safari hii uwe wa huru na wa haki tumuombe pia.

Aliyetuumba kutupa Subra katika kila jambo na mwenye nia mbaya ya nchi yetu basi Muuba wetu amuangamize

Mwisho, nawaomba kufanya maamuzi yaliyo sahihi kiupande wako na kuzidi kuelimishana kwa kufanya mema na kuwacha mabaya.
 
Kuna mtu kasema uchaguzi utakua huru na wa haki, kwa kuwa mtu huyo tayari ameshapanda cheo na kuwa yesu, kuna haja gani ya kuomba?

yesu keshasema uchaguzi utakua huru
 
Mimi ombi langu wale wooote wanaohujumu upinzani wa kweli wafe tena vifo vya mateso
 
Naomba Mwenyezi Mungu tume ya uchaguzi itende haki. Ikitokea Kuna msimamizi anataka kutangaza ndivo sivo mdomo wake upinde, ulimi ukwame hadi atamke kilichoamliwa na wapiga kura.
 
Dua tuanze ktk kura za maoni tunaomba Mungu ampe hekima jiwe aachie kijiti kwa membe bila kutokea machafuko
 
Back
Top Bottom