Dua ya mlevi!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
Mlevi mmoja aliyependa pombe kuliko kitu kingine,
alijikuta akiingia matatani kutokana na tabia yake hiyo.
Jamaa huyu alichukia zaidi wakati wa mfungo wa Ramadhani ambapo watu hutakiwa kubadili tabia na kuacha ulevi na mambo mengine yasiyofaa.

Ili kuepukana na kero hiyo alijiadaa kwa sala maalumu ambapo siku moja aliingia

msikitini kwenda kushusha dua zake.Dua yenyewe aliiomba hivi:

"Ee Mola tujaalie Ramadhani iwe kama 'World Cup' kila baada ya miaka minne na nchi ziwe zina 'Qualify' kuingia;akimaanisha kuwa Tanzania haiwezi kufanikiwa kwa hiyo yeye ataendelea kupiga masanga yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…