Dua yenye nuru, itikia amiin

Dua yenye nuru, itikia amiin

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
👉ALLAH Akujalie Kheri Katika Dunia na Akhera
👉ALLAH Akuifadhi Katika Kila Hatua
👉 ALLAH Akusitiri Katika Aibu Zako
👉 ALLÀH Akupe Wepesi Katika Maisha Ya Dunia
👉 ALLAH Akurudhuku Moyo wa Ukarimu
👉ALLAH Akupe Marafiki wenye Kheri na Wewe
👉 ALLAH Akuepushe na Shari na Kila Aina ya Shari
👉 ALLAH Akufanyie Sahaal Katika Haja zako
👉 ALLAH Akupe Nuru Katika Uso Wako
👉ALLAH Akusamehe Madhambi Yako ya Siri na Dhahiri
👉ALLAH Akukinge na Mashetani watu na Majini
👉ALLAH Akupe Muongozo Mzuri
👉 ALLAH Awarehemu wazee wako
👉 ALLAH Awaepushe wazee wako na Adhabu ya Kaburi
👉 ALLAH Atukinge na Adhabu ya Moto
👉ALLAH Atujalie Vizazi vyenye kheri
👉 ALLAH Awajalie wasio na Uzazi WAPATE Uzazi
👉 ALLAH Awaponyeshe Na KUWAPA Shifaa Wagonjwa wetu

👉Allah Atupe Nguvu kama Alizo mpa Nabii Musa Na Nabii Muhammad ﷺ
👉Allah Atukinge Na Maradhi kama Alivyo mponya Nabii Ayoubu
👉 ALLAH Atukinge na Watu Wabaya kama Alivyo Mkinga Nabii Isa Ibn Maryamu (a.s)
👉 Allah Atupe Kinga kama Alivyo Mkinga Nabii Ibrahim Allaahy-Salaam juu ya Moto
👉 Allah Atupe Ushindi Kama Alivyo Mpa Nabii Yusufu ndani ya Kisima.
👉 Allah Atukinge Na mikosi na Mabalaa na Njaa kama Alivyo Mkinga Maryamu
👉Allah Atukinge na Mahasidi wenye kutuhusudu
👉Allah Atupe Nyoyo za Ujasiri kama Aliyo Mpa Nabii Ibrahim
👉Allah Atujalie Tuwe wenye Ukarimu na Huruma kama Alivyo mjalia Nabii Muhammad ﷺ
👉 Allah Atujalie Tuwe wapole Kama Alivyo Mjalia Nabii Haruuni na Muhammad ﷺ
👉 Allah Atujalie Tuwe Wenye kutubia kwake Kila sekunde
👉Allah Atuweke mbali na Ushirikina wa Siri na Dhahiri
👉Allah Atupe VIFUA Vipana vya Ujasiri
👉 Allah Atupe Nyoyo za Mapenzi
👉 Allah Atukinge na Fitna za Uhai na Mauti
👉 Allah Atufungulie milango ya Kupata Riziki
👉Allah Atujalie Riziki zetu tuzipate Kwa Wepesi
👉Allah ajalie Majumba Yetu yawe na Nuru
👉ALLAH Azikubalie Ibada zetu

👉Allah Atujalie Siku ya Kiyama atufufue na Manabii wetu vipenzi.

👉 ALLAH Ataongoze Katika Njia ya Sirat Mustaqiimu.

👉Allah Awajalie Wasio na Ndoa WAPATE

👉Allah Atuepushe na Mitihani na Mikosi.

👉Allah Atujalie Husnul khatimaa.(Mwisho Mwema)

Allaahuma Swalii Allaah Muhammad Waalah Alhli Muhammad Kama swalaita Allaah Ibrahim Walaah Alhli Ibrahim Fii Alamina Innaqa Hamidun Majiid

Alhamdulillah Rabila Alamini

Allah Taqabaal Dua

Amiin Amiin Allahumma Amiin Iwe kheri
1721555249570.jpg
 
Back
Top Bottom