Dua yenye nuru, itikia amiin

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
๐Ÿ‘‰ALLAH Akujalie Kheri Katika Dunia na Akhera
๐Ÿ‘‰ALLAH Akuifadhi Katika Kila Hatua
๐Ÿ‘‰ ALLAH Akusitiri Katika Aibu Zako
๐Ÿ‘‰ ALLร€H Akupe Wepesi Katika Maisha Ya Dunia
๐Ÿ‘‰ ALLAH Akurudhuku Moyo wa Ukarimu
๐Ÿ‘‰ALLAH Akupe Marafiki wenye Kheri na Wewe
๐Ÿ‘‰ ALLAH Akuepushe na Shari na Kila Aina ya Shari
๐Ÿ‘‰ ALLAH Akufanyie Sahaal Katika Haja zako
๐Ÿ‘‰ ALLAH Akupe Nuru Katika Uso Wako
๐Ÿ‘‰ALLAH Akusamehe Madhambi Yako ya Siri na Dhahiri
๐Ÿ‘‰ALLAH Akukinge na Mashetani watu na Majini
๐Ÿ‘‰ALLAH Akupe Muongozo Mzuri
๐Ÿ‘‰ ALLAH Awarehemu wazee wako
๐Ÿ‘‰ ALLAH Awaepushe wazee wako na Adhabu ya Kaburi
๐Ÿ‘‰ ALLAH Atukinge na Adhabu ya Moto
๐Ÿ‘‰ALLAH Atujalie Vizazi vyenye kheri
๐Ÿ‘‰ ALLAH Awajalie wasio na Uzazi WAPATE Uzazi
๐Ÿ‘‰ ALLAH Awaponyeshe Na KUWAPA Shifaa Wagonjwa wetu

๐Ÿ‘‰Allah Atupe Nguvu kama Alizo mpa Nabii Musa Na Nabii Muhammad ๏ทบ
๐Ÿ‘‰Allah Atukinge Na Maradhi kama Alivyo mponya Nabii Ayoubu
๐Ÿ‘‰ ALLAH Atukinge na Watu Wabaya kama Alivyo Mkinga Nabii Isa Ibn Maryamu (a.s)
๐Ÿ‘‰ Allah Atupe Kinga kama Alivyo Mkinga Nabii Ibrahim Allaahy-Salaam juu ya Moto
๐Ÿ‘‰ Allah Atupe Ushindi Kama Alivyo Mpa Nabii Yusufu ndani ya Kisima.
๐Ÿ‘‰ Allah Atukinge Na mikosi na Mabalaa na Njaa kama Alivyo Mkinga Maryamu
๐Ÿ‘‰Allah Atukinge na Mahasidi wenye kutuhusudu
๐Ÿ‘‰Allah Atupe Nyoyo za Ujasiri kama Aliyo Mpa Nabii Ibrahim
๐Ÿ‘‰Allah Atujalie Tuwe wenye Ukarimu na Huruma kama Alivyo mjalia Nabii Muhammad ๏ทบ
๐Ÿ‘‰ Allah Atujalie Tuwe wapole Kama Alivyo Mjalia Nabii Haruuni na Muhammad ๏ทบ
๐Ÿ‘‰ Allah Atujalie Tuwe Wenye kutubia kwake Kila sekunde
๐Ÿ‘‰Allah Atuweke mbali na Ushirikina wa Siri na Dhahiri
๐Ÿ‘‰Allah Atupe VIFUA Vipana vya Ujasiri
๐Ÿ‘‰ Allah Atupe Nyoyo za Mapenzi
๐Ÿ‘‰ Allah Atukinge na Fitna za Uhai na Mauti
๐Ÿ‘‰ Allah Atufungulie milango ya Kupata Riziki
๐Ÿ‘‰Allah Atujalie Riziki zetu tuzipate Kwa Wepesi
๐Ÿ‘‰Allah ajalie Majumba Yetu yawe na Nuru
๐Ÿ‘‰ALLAH Azikubalie Ibada zetu

๐Ÿ‘‰Allah Atujalie Siku ya Kiyama atufufue na Manabii wetu vipenzi.

๐Ÿ‘‰ ALLAH Ataongoze Katika Njia ya Sirat Mustaqiimu.

๐Ÿ‘‰Allah Awajalie Wasio na Ndoa WAPATE

๐Ÿ‘‰Allah Atuepushe na Mitihani na Mikosi.

๐Ÿ‘‰Allah Atujalie Husnul khatimaa.(Mwisho Mwema)

Allaahuma Swalii Allaah Muhammad Waalah Alhli Muhammad Kama swalaita Allaah Ibrahim Walaah Alhli Ibrahim Fii Alamina Innaqa Hamidun Majiid

Alhamdulillah Rabila Alamini

Allah Taqabaal Dua

Amiin Amiin Allahumma Amiin Iwe kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ