Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, bora Floyd apigwe na mabondia wenye title zao tayari kuliko huyu ngedere Conor McGregor.anything can happen, tyson mwenyewe alipigwa.spirit ambayo ataingianayo gregory itakuwa ni hatari sababu ataandika historia ambayo iotachukua mda mrefu kuvunjwa, kutoka kwenye mchezo tofaut na ngumi na kumpiga legend wa ngumi,sifa zote ambazo anazo mayweather zitaamia kwa gregory, na itakuwa mbaya sana sababu maywether atakuwa anastafu kwa kipigo so ata akistaafu kitakumbukwa kipigo kuliko mazuri yote aliyoyafanya, na yeye analitambua hili thats why atakuwa makini sana, lakin nimeangalia mapambano yote ya mayweather kupigwa sio rahisi kabisa
Acha ushamba fatilia vitu huyo limbuken Floyd ni mchumba kwa Jayz na P didy ila wapo cool yeye weka utajiri wake na wa Man...Jiga ana maisha ..angalia usije ukachekwa na watu.
Floyd ana hela kuliko huyo Mesi na huyo C.Ronaldo.
Halafu kingine, jaribu kupambana na hali yako, ukiona unachukizwa na utajiri wa Floyd na wewe tafuta zako tuone kama mpaka unafariki kama utafikia hata theluthi ya utajiri wake.
Aisee unajua kusoma kweli?Acha ushamba fatilia vitu huyo limbuken Floyd ni mchumba kwa Jayz na P didy ila wapo cool yeye weka utajiri wake na wa Man...Jiga ana maisha ..
UTAJIRI WA P DIDY $820 milion...Utajiri wa JAY Z $810 milion alafu utajiri wa mshamba Myawether ni $340milion ata nusu ajawafkia ila yeye kila sku ni kupga pcha na vinot daily. ..ushamba utakuja kumfanya maskin ajifunze kwa wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma coment yangu uliyojbu yote utaelewa kua ulikurupuka kujbu bila kusoma. ...Jayz na P Didy niliwataja ndan. ..ukarukia Messi na Ronaldo ambao nmewataja kama othersAisee unajua kusoma kweli?
Wapi nimeandika Floyd ana hela kuliko Jigga na P Didy?
Floyd ana hela ukimlinganisha na C. Ronaldo na huyo Messi.
Aisee ngoja nikuache tu maana nimeshajua nabishana na mtu wa namna gani, nisije nikajishushia CV yangu bure.Soma coment yangu uliyojbu yote utaelewa kua ulikurupuka kujbu bila kusoma. ...Jayz na P Didy niliwataja ndan. ..ukarukia Messi na Ronaldo ambao nmewataja kama others
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay...next time argue with vvd examples. ..si ushabiki. ..nashukuru kwa kuelewaAisee ngoja nikuache tu maana nimeshajua nabishana na mtu wa namna gani, nisije nikajishushia CV yangu bure.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
kwa hiyo unataka useme Floyd hana hela au?Ukiona watu wanjisifia pesa ,elimu nk kwa watu wasiowajua basi ujue hawana hivyo wanavyojinasibisha navyo!
Cc hance mtanashati
Mtanzania mzawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana kulinganisha na wenye Pesakwa hiyo unataka useme Floyd hana hela au?
Tofautisha kujisifia na kujioneshakwa hiyo unataka useme Floyd hana hela au?
Kwan Drei ni mzungu?????.......Myawether nataka atandikwe aache ushamba. .mara kutembea na pesa na kupga nazo pcha mara msururu wa mabounser. ..aige wenye Pesa kina Jayz .$810 milion..P DIDY .$820 milion..yeye ata nusu ajawafkia ana $340 milion ila siku ni pcha kama demu na vinoti..wazungu wataendelea kituacha tu huwez kukuta kna Bilget. .na vijana kama kna Drei.. messi ..Ronaldo na wengne kwenye huu upuuz...wapo cool wakat pesa wanazo
Ukiona watu wanjisifia pesa ,elimu nk kwa watu wasiowajua basi ujue hawana hivyo wanavyojinasibisha navyo!
Cc hance mtanashati
Mtanzania mzawa
Sent using Jamii Forums mobile app
The guy hapo juuu kasahau kitu, ukiona mtu anajipa shangwe. Juu ya hela zake au mafanikio fulani jua pia ame hustle kuzipata, ngoja ajipe shangwe kwa alicho tengeneza..kwa hiyo unataka useme Floyd hana hela au?
Hiyo ni hulka tu ya mtu. Floyd ana net worth ya $340 mil sio kitoto mkuu.