Dua za dhati kwa swahiba wangu Floyd Mayweather

litakuwa saa 12 asubuh.. kwenye pop up chanel ya dstv.. kwa wale ambao wanayo
 
Kila mtu aishi atakavyo[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
leteni mrejesho...naskia kelele huko...vp?
Mayweather kagongwa nini?
 
So [emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unaona vipi kwani??
Jamaa anaishi dream life yako wewe utakufa maskini tu
Wabongo hutawaweza. Kama hili pambano la leo hawajamchangia hata mia, sasa akisema aanze kufanya matunzi yake wanatokwa povu.


Hukwepo wakati nazisaka usinipangie kuspen - R.I.P NGWEA.
 
Leta mrejesho nan kapigwa huko

Cc mbitiyaza

Sent using Jamii Forums mobile app
My weather ameshinda kwa knockout round ya kumi baada ya kumsukumia makonde mfululizo usoni mc Gregory aliyekuwa ameloa damu usoni kidogo adondoke ktk kamba hadi nje ya ulingo ambapo referee amebidi amuokoe kwa kusimamisha pambano

Asante myweather kwa kutubeba waafrika[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…