Dua zenu jamani, nipo kwenye boti naenda Zanzibar

Sasa mkuu kwa nn usipige selfie?
Huoni kuweka picha za watu wengine bila ridhaa unaweza hatarisha amani.!? Ungejiweka wewe mwenyewe tu
 
Safari njema bby. Usisahau zawadi zangu nilizokuagiza please
 
Sasa ndio nini kunipiga picha na kutupia huku?!

Jamaa zangu hata hawajui kuwa nna safari ya Zenji leo...
 
Unapiga picha watu kibwege namna hii,ivi unajua wengine tumeaga tunaenda Moshi alafu unatuma mipicha yako umu tuko kwenye boti inaenda Znz huu wehu wa kupiga picha ovyo kafanye mbugani uko.
 
Unapiga picha watu kibwege namna hii,ivi unajua wengine tumeaga tunaenda Moshi alafu unatuma mipicha yako umu tuko kwenye boti inaenda Znz huu wehu wa kupiga picha ovyo kafanye mbugani uko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
alafu kupiga piga picha watu mnaharibu ndoa za watu sa nyingine
Kweli kabisa, unaweza kuta mtu kaaga nyumbani kuwa anaenda Songea kikazi na mara anaonwa na mwenza wake akiwa kwenye boti la kuelekea Zanzibar [emoji41]
Sasa mkuu kwa nn usipige selfie?
Huoni kuweka picha za watu wengine bila ridhaa unaweza hatarisha amani.!? Ungejiweka wewe mwenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…