Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Nimeangalia wasanii wakubwa wa Afrika wakielekea Dubai kwenye show ya kihistoria. Nimejaribu kupepesa macho sijaona jina la Kiba. Tanzania kuna Diamond, Harmonize, Mdee na Nandi.
Je, huu mwamba wa bongo fleva umesahaulika au umekataa mwaliko?
Je, huu mwamba wa bongo fleva umesahaulika au umekataa mwaliko?