G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Sep 29, 2008 #1 well naona Sheikh Mo alikuwa anapewa exclusive tour...wanasema itaunguliwa 9/9/2009 lakini mie naona iko tayari..according to the video I cant wait for this maana ile misafara ya kwenda Deira kwa mabasi naona ilikuwa nusra intoe roho Tazama video hapa chini: News ukisikia MAN OF THE PEOPLE ndio huyu
well naona Sheikh Mo alikuwa anapewa exclusive tour...wanasema itaunguliwa 9/9/2009 lakini mie naona iko tayari..according to the video I cant wait for this maana ile misafara ya kwenda Deira kwa mabasi naona ilikuwa nusra intoe roho Tazama video hapa chini: News ukisikia MAN OF THE PEOPLE ndio huyu
Kuntakinte JF-Expert Member Joined May 26, 2007 Posts 701 Reaction score 34 Sep 29, 2008 #2 Mkuu tunasubiria hiyo Video maana tupo pamoja.
G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Sep 29, 2008 Thread starter #3 Kuntakinte said: Mkuu tunasubiria hiyo Video maana tupo pamoja. Click to expand... Bonyeza hapo CHINI palipoandikwa NEWS News BONYEZA hapo jJUU palipoandikwa NEWS video itafunguka
Kuntakinte said: Mkuu tunasubiria hiyo Video maana tupo pamoja. Click to expand... Bonyeza hapo CHINI palipoandikwa NEWS News BONYEZA hapo jJUU palipoandikwa NEWS video itafunguka