Dubai Metro

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Nchi inaongozwa na MTAWALA na mambo yanafanyika bila malalmiko..hakuna cha WAPIGANAJI,WAPAMBANAJI,WAANDIKISHA WAPIGA KURA na MAKAMNDA wala cha VYAMA VINGI

na raia wanapata kila kitu

maybe this is what we need
Dubai Metro

Rashidiya



















 
Panapendeza kwa kweli. lol! Bongo sijui hali kama hii tutafikia mwaka gani.
 
Na hakuna stress za kupambana na ufisadi.
 
Bongo wataanzia na Kigamboni. Ila dhahabu ambayo ingetusaidia kujenga ndiyo hiyo tumeshamkabizi Sinclair.
 
Bongo hata lishe imetushinda, ndio kujenga subways!




 
Sheikh Rashid - the oil is about to run out, "build and they will come"
 
This is econ 101, supply and demand. Fossil fuel is and will be a critical driving force behind world economic growth for a foreseeable future. Wasaudi wana zaidi ya asilimia 25 ya reserve the mafuta, je unategemea umaskini utatoka wapi? Hata hivyo nashangaa wamekaa gizani kwa muda wote huu mpaka sasa hivi.
 
si waliwapeleka juzi juzi kwenda kusoma universities kama Oxford nk. Sasa wamerudi na vision mpya. The lesson we need to learn: Nenda kamwibie mzungu ujuzi wake kisha rudi endeleza kwako. Wajapan walifanya hichi hichi.
 
si waliwapeleka juzi juzi kwenda kusoma universities kama Oxford nk. Sasa wamerudi na vision mpya. The lesson we need to learn: Nenda kamwibie mzungu ujuzi wake kisha rudi endeleza kwako. Wajapan walifanya hichi hichi.

Kitu kingine ni kwamba Dubai kwa sasa iko so westernised. Wazungu wako wengi sana kule na hata MD wa Emirates (Airline) ni mzungu. Nilikuwa naangalia programme moja thru BBC there are lot of Wazungu companies operating in Dubai now.
 
Bongo wataanzia na Kigamboni. Ila dhahabu ambayo ingetusaidia kujenga ndiyo hiyo tumeshamkabizi Sinclair.

Na huyu jamaa nasikia ni swahiba mkubwa wa Kikwete tangu akiwa waziri wa nishati na madini. Sasa sijui bwana mkubwa (Kikwete) ananufaikaje na uswahiba huo huku bwana Sinclair akipora madini yetu. Huyu Sinclair hata ile ripoti ya kamati ya madini iliyoongozwa na Jaji Mark Bomani aliipata kabla hata wabunge hawajaiona na akaanza kuwasiliana na mariki zake kuwatoa wasiwasi kuwa mapendekezo ya kamati ile hayatatiliwa maanani baada ya kuwa ameshaongea na Kikwete na kweli ndo hicho tunachokiona kwa sasa. Taabu kweli kweli hii TZ yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…