Mzuka wanajamvi!
Hali ya kiuchumi Urusi ni mbaya. Zaidi ya mamilionea elfu 15 pamoja na wafanyabiashara wanatoroka Urusi nakuhamia Dubai na Uturuki.
Dubai na Uturuki zimefaidika sana kwa wimbi la hawa mamilionea wa kirusi ambao wamehamishia hela zao huko.
Mamilionea hao wanatoroka Urusi kwasababu ya hali mbaya ya kiuchumi na biashara zao kuhathirika. Pia wanahofia wanaweza kupoteza utajiri wao kabisa kwasababu hali inavyozidi kuwa mbaya.
Dubai walijiwekea malengo kabla hata ya hii vita ya Ukraine wanataka kuwakaribisha mamilionea elfu moja kila mwaka. Lakini tangu vita ya Ukraine ianze tayari mamilionea zaidi ya elfu 5 wameomba residency wengi wao wakiwa kutoka Urusi.
Hali ni mbaya urusi kiuchumi. Raia wa kawaida wa urusi wanakipata. Kina putin na genge lake ndo wanafurahi.