#COVID19 Dubai, UAE: Ndege kutoka Tanzania kutoruhusiwa kutua kuanzia Desemba 25

#COVID19 Dubai, UAE: Ndege kutoka Tanzania kutoruhusiwa kutua kuanzia Desemba 25

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron.

Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka abiria wake katika nchi zilizozuiwa.

Raia wa UAE, ndugu zao wa karibu na Wajumbe wa Diplomasia watatakiwa kukaa karantini siku 10. Watatakiwa kupima COVID-19 siku ya 9.
===

The National Emergency Crisis and Disasters Emergency Management Authority (NCEMA) and the General Civil Aviation Authority (GCAA) have announced the suspension of all inbound flights for national and international carriers and transit passengers from Kenya, Tanzania, Ethiopia, and Nigeria from Saturday, December 25, effective 7.30 a.m.

This includes suspending the entry of travellers who were in the four countries 14 days before coming to the UAE, while flight operations will continue to transport passengers from the UAE to the same countries.

The UAE nationals, their first degree relatives, diplomatic missions, official delegations between UAE and these countries and Golden residence holders are excluded from this decision.

The excluded categories should present a negative COVID-19 test obtained within 48 hours of departure and a Rapid-PCR test at the airport within six hours of departure whenever possible and another PCR test at the airport upon arrival to UAE.

A 10-day quarantine and a PCR test on the ninth day of entering the country is required for UAE nationals, their first-degree relatives, diplomatic missions and golden residence holders.

GCAA also affirmed that it is required for those coming from the four countries through other countries to stay in latter countries for at least 14 days before being allowed to enter the UAE.

UAE citizens are barred from travelling to the four African countries except for the country's emergency treatment cases, official delegations, and scholarships.

In addition, the two authorities have introduced new travel requirements for those coming on direct flights from Uganda and Ghana. These include having a negative COVID-19 test obtained within 48 hours and a Rapid-PCR test at the airport within six hours of the departure.

Those coming from Uganda and Ghana to the UAE on transit flights also have to have a negative COVID-19 test obtained within 48 hours and a Rapid-PCR test at the airport of their main point of departure within six hours of travelling in addition to another Rapid PCR test at the transit airport before being allowed to enter the UAE.

GCAA called on all travellers affected by the decision to follow up and communicate with the airlines to amend and schedule their flights and to ensure their safe return to their final destinations without any delay or other obligations.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu(UAE) imetangaza kuzuia ndege za Tanzania kutua nchini humo kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa kesi za #Omicron

Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Ndege za UAE zitaendelea kupeleka abiria wake katika nchi zilizozuiwa

Raia wa UAE, Wajumbe wa Diplomasia na ndugu wa karibu wa raia wa UAE watatakiwa kukaa karantini siku 10 ambapo siku ya tisa watatakiwa kupima COVID19

Sasa wanakwepa nini yaan ndege za tanzania zisitue lakin za kwao zitatua ama sijaelewa
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu(UAE) imetangaza kuzuia ndege za Tanzania kutua nchini humo kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa kesi za #Omicron...
Omicron ni mafua yaliyochangamka ndiyo maana hata vifo vyake ni vichache sana kulinganisha na Delta hao jamaa watuige huku TZ tunaishi nayo na hata hatuna hofu
 
Mwaafrika siku zoote tunafanywa wanyonge.....!, Hata huu umaskini naona wanatupiga nao ili tusiweze kuamka!!!

NB: Mama mmoja Mnaigeria alisikika akilia huko Lampedusa, kisiwa kando kando ya Italy baada ya mashua yao iliojaa wakimbizi kutoka Africa ilipofumaniwa... "Naomba Musinirudishe Afrika.......hata nikifa pia maiti yangu musiirudishe Afrika!!!!!!

Wakoloni walikua wakitununua kama watumwa miaka hio, hivi sasa hawanaja kutoa hata senti, watumwa wajipeleka wenyewe........Mungu Saidia AFRIKA
 
Wameanza kutuiga taratibu…safari hii hawajajifungia ndani

Uganda wanefungua shule baada ya kuzifunga kwa zaid ya miezi 18 na kama kuna kitu wamepata basi ni kuanguka kwa uchumi
JPM alitupatia ujasiri na hadi leo unatubeba huwezi ukaona watu wanapata taharuki Omicron ipo na watu wameipata ila wanapambana na maisha yanaendelea hakuna kutiana hofu
 
Hili lidunia bora lisafishwe tuanze upya, binadamu tunafanyiana figisu sana.

Yani ndegezetu zikienda zitapeleka korona, ilazakwao ruksa kujahuku kwenye korona!!! Ihiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hapo ndio utatamani kusikia Hayati Magu angesemaje.
 
Hili lidunia bora lisafishwe tuanze upya, binadamu tunafanyiana figisu sana.

Yani ndegezetu zikienda zitapeleka korona, ilazakwao ruksa kujahuku kwenye korona!!! Ihiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hapo ndio utatamani kusikia Hayati Magu angesemaje.
Hivi si hao mama anapenda kukondi ndege zao?
 
Sisi hatuna omicron lakini wametuzuia
20211129_121728.jpg
 
Back
Top Bottom