#COVID19 Dubai, UAE: Wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kusafiri nje kuanzia Januari 10

#COVID19 Dubai, UAE: Wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kusafiri nje kuanzia Januari 10

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza (Booster) ili kukidhi vigezo vya kusafiri

Hata hivyo, marufuku hiyo itakayoanza Januari 10 italegezwa katika mazingira kadhaa ikiwemo yale ambayo Mamlaka zimesema ni ya kibinadamu, na pale Raia wanaposafiri kwa ajili ya matibabu

======

UAE has announced a travel ban on citizens unvaccinated with COVID-19 vaccines from 10 January with a requirement to obtain the booster dose for the fully vaccinated.

"Ban on travel on UAE citizens unvaccinated with #Covid19 vaccine, starting 10 January 10 with a requirement to obtain the booster dose for the fully vaccinated," the country's National Emergency Crisis and Disaster Management Authority (NCEMA) said in a tweet on Saturday.

However, the authority has said that it would not be applicable for those medically exempted from taking the vaccine, humanitarian and treatment cases.
This comes as the Omicron variant of the COVID-19 is rallying infections in a large number of countries and has surged the hospitalisations in the US and Europe.

The massive spread of the virus, surges in infections and hospitalisations have also led to the cancellation of a large number of flights as fear of the Omicron spread grows.
 
Back
Top Bottom